Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Pumbavu, wanamwombea shetani?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Ndio akome kutesa watanzania bila sababu sasa inamrudia alipo kaburini huko nyoko yule, natamani afufuke tumchape bakora za kutosha kisha afe tena.
Duh...!.Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
Ulitaka itengwe budget kila mwaka ya kumuombea diktetor? alishindwa nini kujiombea yeye?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
KabisaHadi viongozi wenzake wamemsusa hii maana yake walimchukia sana kwa vitendo vyake, duniani tunapita tu mtu usijifanye hii dunia ni mali ya Baba yako na ukajiona wewe ndiye bora kuliko wengine.
Si mtakatifu na nitakufa najua lakini pamoja na kutokuwa mkamilifu bado sitaweza kuwafanyia binadamu wenzangu unyama wa kuwadhulumu haki zao za asili kama aliofanya magufuli. Mungu ampe adhabu kadiri ya mabaya aliyofanya.Ndugu kwani wewe ni mtakatifu sana?
au hufi?