We bibi pia mnafki sana. Enzi zake ulipotea sana humu jukwaani ukabaki kwenye jukwaa la MMU tu..Hii inaonesha ni vipi hata wenzake aliokuwa nao serikalini hawamkubali, walikuwa wakimsifia kinafiki tu, walijuwa ni mpenda sifa.
Wangeachwa na wale waliokuwa wanashangilia kifo chake waonekane, ndio ungejua alikuwa mtu wa aina gani.Kawaulize kwa nini walimlilia vile aliwafaa lipi?
Shikamoo MadamHii inaonesha ni vipi hata wenzake aliokuwa nao serikalini hawamkubali, walikuwa wakimsifia kinafiki tu, walijuwa ni mpenda sifa.
Id nyingine ya tindo.Sawa, na hivyo ndivyo inavyotakiwa! Marehemu Mkapa katika uhai wake alipenda kunukuu maneno ya wimbo wa kale wa dansa: "mtoto wacha kulia, waache watu waone wenyewe". Mwenyewe alikuwa kiongozi bora sana na aliyeheshimika nchi nzima. Lakini hakukubali hata kidogo kusifiwa licha ya kutukuzwa. Baada ya kufa hakuna raia wanaohangaika kujua lini alifariki na nini kinafanyika kumkumbuka; hilo ni suala la familia. Tofauti kabisa na huu umaarufu wa wanasiasa mbilikimo wa kulazimisha mpaka kumbukumbu ya kifo! Pathetic!
baba yako ni shogha kwa taarifa yako. Mteja mzuri sana toka biharamuloMashoga mmekuwa wengi humu ndo tatizo.Mimi sio Basha peleka huko mnakouzaga.
Yaani Waziri atoke Dar kwa Shabiby kuja kwenye misa?Kuhudhuria misa hakuhitaji bajeti ya serikali, ni mtu tu binafsi anaimudu
kwani wewe kupanda ndege hadi ulipiwe na serikali? Au hujawahi?Yaani Waziri atoke Dar kwa Shabiby kuja kwenye misa?
kwahiyo hata bashungwa hukumuona sio?Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.
Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Anaenda kunufaika na nini mpaka atumie pesa ake?kwani wewe kupanda ndege hadi ulipiwe na serikali? Au hujawahi?
Anaenda kunufaika na nini mpaka atumie pesa ake?kwani wewe kupanda ndege hadi ulipiwe na serikali? Au hujawahi?
Makonda alihudhuria???Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.