Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Sawa, na hivyo ndivyo inavyotakiwa! Marehemu Mkapa katika uhai wake alipenda kunukuu maneno ya wimbo wa kale wa dansa: "mtoto wacha kulia, waache watu waone wenyewe". Mwenyewe alikuwa kiongozi bora sana na aliyeheshimika nchi nzima. Lakini hakukubali hata kidogo kusifiwa licha ya kutukuzwa. Baada ya kufa hakuna raia wanaohangaika kujua lini alifariki na nini kinafanyika kumkumbuka; hilo ni suala la familia. Tofauti kabisa na huu umaarufu wa wanasiasa mbilikimo wa kulazimisha mpaka kumbukumbu ya kifo! Pathetic!
Id nyingine ya tindo.
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
kwahiyo hata bashungwa hukumuona sio?
 
Makonda alihudhuria???

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
That’s what death is, isn’t it? Forgetting. Being forgotten.

Hicho ndio kifo; kusahahu na kusahaulika.
 
Back
Top Bottom