Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Kangi Lugola ni mfano WA andiko lako
 
Dotto James hakuwa muongeaji hata ukitafuta clip zake youtube hazifiki hata tano yeye alikuwa anakula pesa kimya kimya.

Wewe utakuwa unamsema Heri James aliyekuwa UVCCM na matamko yake ya kukera
Doto James ni mshenzi zaidi kuliko wote yeye alikuwa ni ibilisi kuliko Magufuli na alikuwa anamdanganya ili afanikiwe dili zake hao ndio waliomponza mwendazake kwani walikuwa waongo na wachonganishi umeme anaotumia mwongozo nimemvutia mimi lakini hakuwa na shukrani hata kidogo akataka ardhi yangu ili awe bichi ndio alivyoanza vitimbwi na kina Lukuvi ili watufukuze nchi mungu aendelee kuwaadhibu
 
Wenyeviti wa kamati za siasa za chama walihonga vikundi vya waombolezaji kutandika kanga na kujiliza. Siijui huko kwingine
 
Mwenyezi Mungu wangu si binadamu,labda huyo wako.
 
Hawa mapadre hawasemi watu aliowaua, kawatesa, akawadhulumu, akawapoteza na maovu yote aliyotenda Magufuli. Bladifaken nao wanatetea matumbo yao eti wanamwakilisha Mungu dunia. Nao ni mashetani kama huyu wanayemtetea.
 
Kanda ya ziwa niwape ushauri wa bure.
Anzeni kukutafutia mgombea 2025.
Pili CDM imetumwa kuharibu jina la mpendwa wenu Ili Maza Nina lipae ila mkumbue mkijipanga mnaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…