Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Ukija kwa Ground it doesn’t make any difference watu kuwepo au kutokuwepo huko Chato ! Watu wanamuombea kimoyomoyo kila mtu mahali alipo !!
 
Hata huyo mama yetu mpendwa Janeth kuwepo ni ile tu basi; huyo mama ni binadam hakustahili kujiasosieti ns shetani, ni ile tu basi ilishatokea.
 
Acha uwongo! Waziri wa Ulinzi Inocent Bashungwa nae alikuwepo. Pia Mama aliwakilishwa na mtoto wake
 
Ndugu zako na familia yako ni mtaji usioisha thamani.
 
Hawa mapadre hawasemi watu aliowaua, kawatesa, akawadhulumu, akawapoteza na maovu yote aliyotenda Magufuli. Bladifaken nao wanatetea matumbo yao eti wanamwakilisha Mungu dunia. Nao ni mashetani kama huyu wanayemtetea.
Aisee yan inasikitisha sana. Mtu anajiita askofu kumbe ushetan tu. Yanatetea matumbo tu. Hiz dini za kuletwa ndo maana mm naziangaliaga mara mbili mbili.
 
Taswira ya huyu mkuu wa mkoa imechafuka sana.
Alihusika moja kwa moja na kifo cha mzee Shamte Tanga.
Alimuweka ndani mzee wa watu kwa kesi ya kubambikwa na mzee Shamte akafia gerezani.
 
Kwani hiyo ibada ilikuwa ni jambo la kitaifa?

Mtu akishakufa, huambatana na habari zake
 
My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
My take:
nimeona na kujifunza mengi katika maisha ila somo kuu ni kutokumuamini mwadamu yeyote anayekuzunguka, iwe ndugu, jamaa ama rafiki (0% - leave the 100% to grade/rate the disappointment)!

Ishi kinafiki na kubali kuwa mjinga.
 
Acha uwongo! Waziri wa Ulinzi Inocent Bashungwa nae alikuwepo. Pia Mama aliwakilishwa na mtoto wake
Na kama ni kweli alikuwa mbaya na katili kama wanavyoshambulia washambuliaji basi hata hilo jumba la makumbusho yake lisingejengwa na Serikali ya Chief Hangaya 😅🙏🇹🇿
 
Kanisa Katoliki wametangaza rasmi kuwa Kila Mwaka Tarehe 17 .3. watafanya Misa ya kumbukumbu kumuenzi. Kwa familia na wanafalsa ya Magufulism inawatosha. Kanisa limeona mwana kondoo wake anatweza , limechukua nafasi.
 
Hata Bashite hakuwepo?
 
Usiseme wengi, sema Sukuma gang mlimpenda Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…