Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti hizi chuki zako uwe pia unazionyesha hadi kwa Yanga SC na si Simba SC pekee

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti hizi chuki zako uwe pia unazionyesha hadi kwa Yanga SC na si Simba SC pekee

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hukuteuliwa na Rais JPM ili uwe unaikomoa tu Simba SC kila inapokuja huko Mkoani Kwako Kagera kucheza na Timu yako ya Kagera Sugar bali uliteuliwa ili uwe ' Fair ' kwa Wageni wote ambao watakuwa wanakuja huko. Halafu tambua pia kuwa huo Mkoa wa Kagera haukaliwi tu na wana Yanga SC wenzio bali hata wana Simba SC nao wapo na tena hata Kitakwimu tu wao ndiyo wengi ndani ya huo Mkoa wako.

Hii ni mara ya Pili sasa An Eagle Mimi nakufuatilia ambapo kila ukijua kuwa Timu ya Simba SC ( ambayo bahati nzuri hata Boss wako Mkuu aliyekuteua ndiyo Timu yake pendwa ) inakuja Kucheza huko na Kagera Sugar huwa unaibuka kama Zimwi au Jini na kuanza Kuwaahidi Wachezaji wa Kagera Sugar ' ahadi ' nyingi tu wakiifunga Simba SC ila ikija huko Timu yako pendwa ya Yanga SC huwa unanyamaza kama vile hujui kuwa ipo hapo Mkoani Kwako Kagera.

Labda leo nikukumbushe tu kuwa ' Upuuzi ' huu huu ambao leo unaufanya alianza Kuufanya mwana Yanga SC mwenzio Mbunge Mwigulu Nchemba alipokua Waziri na ni hapa hapa ' tulimuonya ' kuwa anachokifanya ' Kitamgharimu ' nafasi yake ya Uwaziri ambapo tulimshtakia hapa hapa JamiiForums kwa Mheshimiwa Rais na hatimaye ' akaliwa Kichwa ' na sasa anajutia.

Hivi nani hajui kuwa CDF Jenerali Mabeyo ni Yanga SC lia lia kabisa? Lakini je umeshawahi Kumuona akiutumia Ukuu wa Majeshi yake ' Kuinemeesha ' Yanga SC yake? Hivi unadhani kuwa ni Wewe tu ndiye mwenye Mahaba niue na Uchungu na Yanga SC kuliko Yeye? Na ulivyo Mnafiki hata Kauli zako ulizonukuliwa leo na Vyombo vya Habari japo umejifanya kuwa upo ' Neutral ' ila kuna moja ulijichanganya kisha Wadadisi na Wafukunyuzi ' Wabobezi ' wa mambo tukajua kuwa Wewe ni mwana Yanga SC haswa na una Chuki kubwa na ya Hatari na Simba SC.

Mwisho nakuambia mapema tu hata kabla Simba SC haijacheza na Kagera Sugar yako hiyo Alhamisi kuwa wape Hela za Kuroga ( Uchawi ) hao Kagera Sugar wako, andaeni kila aina ya Hila / Hujuma kwa Simba SC ila kaa ukijua kuwa Simba SC hasa Kamati yake ya Roho Mbaya ilishatangulia huko Siku nyingi sana na tukajua mbinu zenu zote hasa za ' Kiuchawi ' na kwa Kukuhakikishia hili angalia jinsi Simba SC itakavyotua ' Kimafia ' Kesho hapo Mkoani Kwako Kagera halafu kitafanyika nini hapo Uwanjani kwa nje na Simba SC ( hasa Gari la Wachezaji ) litapita njia gani na Siku ya Mchezo Kitu gani kitafanyika kabla ya Mechi ndipo utajua kuwa kwa Tanzania nzima hakuna Timu inayojua ' Fitna ' na ' Kuroga ' kama Simba SC.

Najua Kocha wa Kagera Sugar Mecky Maxime ni Yanga SC Kindakindaki na kwamba kila akicheza na Simba SC ( Kupitia Kagera Sugar ) yake huwa anakuwa na ' Hirizi ' ambayo huiweka sana katika Mfuko wake wa Kushoto wa Suruali yake hivyo mwambie kuwa Siku ya Alhamisi aivae tena na Simba SC tusije Kulaumiwa kama ' Akifa ' pale Uwanjani kwani nakuambia kama kuna Mechi ambayo Simba SC na Kamati zake zote imejipanga nayo ndani na nje basi ni hii dhidi ya Kagera Sugar na ' Jini ' tulilolitumia sasa hata kama wakija Barcelona FC au Timu yangu pendwa Uingereza ya Liverpool FC inafungwa tu.

Badilika upesi na acha Uyanga wako na Chuki za wazi kwa Simba SC.
 
Hukuteuliwa na Rais JPM ili uwe unaikomoa tu Simba SC kila inapokuja huko Mkoani Kwako Kagera kucheza na Timu yako ya Kagera Sugar bali uliteuliwa ili uwe ' Fair ' kwa Wageni wote ambao watakuwa wanakuja huko.

Hii ni mara ya Pili sasa An Eagle Mimi nakufuatilia ambapo kila ukijua kuwa Timu ya Simba SC ( ambayo bahati nzuri hata Boss wako Mkuu aliyekuteua ndiyo Timu yake pendwa ) inakuja Kucheza huko na Kagera Sugar huwa unaibuka kama Zimwi au Jini na kuanza Kuwaahidi Wachezaji wa Kagera Sugar ' ahadi ' nyingi tu wakiifunga Simba SC ila ikija huko Timu yako pendwa ya Yanga SC huwa unanyamaza kama vile hujui kuwa ipo hapo Mkoani Kwako Kagera.
Stop talking nonsense.
[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Duh mkuu hebu chukua hata likizo ya mwezi mzima hapa JF bila kupost chochote na ukirudi uanze kutumia ile ID yako ya zamani.

Kumbe nina ID zaidi ya hii halafu Wewe unaijua na Mimi Mhusika siijui? Sasa kama huwa ' Unakereka ' na Mimi iweje kila ninapoanzisha Mada hapa ni lazima tu uifungue na Uisome? Kwani hakuna Mada za Watu wengine ambao unawaamini kama siyo kuwakubali ili uwe unawasoma Wao na Mimi An Eagle nisome na wale ambao huwa wananielewa ambao bahati nzuri wengi wao huwa ni Watu ' Werevu ' watupu na kamwe siyo ' Wapumbavu ' kama ulivyo Wewe na wale Wenzako unaowawakilisha.
 
Sasa kwa nini umeharibu huu muda, si ungeutumia kumsaidia Beki 3 wenu shuguli za hapo nyumbani japo hata kuosha vyombo
 
Nonesense halafu unajisifia timu yenu ya Simba ni wachawi kuliko timu yeyote huo ni ujinga wa kiwango cha Phd
 
Sijui kwa nini umehamia Simba SC na ulikuwa MwanaYanga njanonjano kabisa. Au ni ule ushauri/nasaha ulizopewa na nduguyo Klevaburait kuwa ushabikie Simba SC kama binamu yako Getamisusino?
 
Back
Top Bottom