Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
mashetani yataumbuka yote!!!!!!! soonHakuna siri chini ya jua
Hahaha unadhani maagizo ya mchengerwa ya wakuu wa mikoa yaani mpaka sasa ni Mkuu wa mkoa wa Dar na MbeyaView attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
View attachment 3323747View attachment 3323748
Wajingaas sana wapumbabu.....muda utasema yoore...huyo Homera huyo....sawa ....Chawa wanajipendekeza kwa kufanya vitendo vya kikatili ili kumfurahisha mtawala.
😢😢😢tumepewa namba tumsamilimie MKUU WA MKOA 0753327513.lAKINI AMEZIMA SIMU
Au siyo,tuhuma chapu tu na kumpaka mtu ubaya,bila hata ushahidiView attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
View attachment 3323747View attachment 3323748
upotoshaji ni kazi nyepesi sana na isiyona na maana yoyote gentlemanView attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
View attachment 3323747View attachment 3323748
Kama bado yuko Hai itakuwa Neema.
Mtatii tuAcha udini mpuuzi wewe.