masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Hizi ni hisia zangu piaMdude hatukonae tena wamemuua.
Kama wangetaka kumtisha tu wasingemzimisha na kuondoka nae n hata kama wameondoka nae wangemtelekez usiku ule ule
Hizi ni hisia zangu piaMdude hatukonae tena wamemuua.
Haya uliyaona wakati wa Ali Hassan Mwinyi? Au ulikuwa hujazaliwa wakati huo?Waislamu kuwapa uongazi ni kosa kubwa sana
Tambua ufalme ukishafitinika hakuna kifichiana siri, lazima watajane!upotoshaji ni kazi nyepesi sana na isiyona na maana yoyote gentleman![]()
Nyundo ya kichwa walimuua pale pale, walichofanya wamekimbia na Maiti kwenda kuizika porini au kuitupa mbugani katavi au sehemu nyingine yenye fisi wakali.Hizi ni hisia zangu pia
Kama wangetaka kumtisha tu wasingemzimisha na kuondoka nae n hata kama wameondoka nae wangemtelekez usiku ule ule
SureNyundo ya kichwa walimuua pale pale walichofanya wamekimbia na Maiti kwenda kuizika porini au kuitupa mbugani katavi au sehemu nyingine yenye fisi wakali.
Hata mimi nimeona taarifa za siri kutoka kwa wazalendo ndani ya jeshi la Polisi Mbeya wakimtuhumu Homera kuwa ndiye mtekaji mkuu wa Mdude. Inaelezwa kuwa Mdude amefichwa kwa kuwa yupo katika hali mbaya. Homera ndiye aliyetuma kikosi kumteka Mdude hilo halina ubishi. Hizi siyo tetesi bali ni taarifa za uhakika kabisa.View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
View attachment 3323747View attachment 3323748
😢Nyundo ya kichwa walimuua pale pale walichofanya wamekimbia na Maiti kwenda kuizika porini au kuitupa mbugani katavi au sehemu nyingine yenye fisi wakali.
Mambo hadharaniHata mimi nimeona taarifa za siri kutoka kwa wazalendo ndani ya jeshi la Polisi Mbeya wakimtuhumu Homera kuwa ndiye mtekaji mkuu wa Mdude. Inaelezwa kuwa Mdude amefichwa kwa kuwa yupo katika hali mbaya. Homera ndiye aliyetuma kikosi kumteka Mdude hilo halina ubishi. Hizi siyo tetesi bali ni taarifa za uhakika kabisa.
masuala ya kifalme ni ya kusadikika gentleman,Tambua ufalme ukishafitinika hakuna kifichiana siri, lazima watajane!
Ukisema huo ni upotoshaji maana yake unamfahamu aliyeagiza huo utekaji tofauti na huyu anayesemwa.
Haya eleza hapa

Mama atamteua tenaHuyo mkuu wa mkoa anapata faida gani kwa ujinga huu
Anamsadia mama kusafisha njiaHuyo mkuu wa mkoa anapata faida gani kwa ujinga huu
Angekuwa ametupwa Katavi tungejua. Mdude amefichwa na aliyemficha ni Homera full stop!Mnatuchanganya makamanda, wengine ametekwa na kufichwa, wengine wana za ndani zaidi kauliwa na nyundo na kutupwa katavi, ukweli ni upi wakuu.
Niliposikia hilo tamko nikasema moyoni kwamba wazee wa kaa ndani masaa 24 wamepewa runguHahaha unadhani maagizo ya mchengerwa ya wakuu wa mikoa yaani mpaka sasa ni Mkuu wa mkoa wa Dar na Mbeya
Achana nayo haya mambo,we endelea na inshu zako tuHakuna kitu kinaninyima amani kama kupotezwa kwa mdude yaani sina amani kabisa mpaka nafikiria kujitoa mhanga.
Je yeye ataishi milele?, Vile vile mshahara wa dhambi ni mautiView attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748