kombeo la daudi
Senior Member
- Apr 30, 2025
- 190
- 200
Nimesoma na homera kidato kimoja pale kigonsera, jamaa hakuwa na hizo mambo. sasa kama kafanya hivyo ama kweli watu hubadilika.
Basi tunahisi tu hakuna mwenye uhakika.Angekuwa ametupwa Katavi tungejua. Mdude amefichwa na aliyemficha ni Homera full stop!
Kumbukeni pia huyo Homera anahusishwa na utekaji wa Shadrack Chaula!View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
upotoshaji ni kazi nyepesi sana na isiyona na maana yoyote gentleman![]()
Ipo sikuMama atamteua tena
Pale Kigonsera alihamia Mkuu alianzia RuvumaNimesoma na homera kidato kimoja pale kigonsera, jamaa hakuwa na hizo mambo. sasa kama kafanya hivyo ama kweli watu hubadilika.
Juma Homera ni muuaji mzoefu!upotoshaji ni kazi nyepesi sana na isiyona na maana yoyote gentleman![]()
Basi tupe taarifa za uhakika mmemuua na kumpeleka wapi?Mnatuchanganya makamanda, wengine ametekwa na kufichwa, wengine wana za ndani zaidi kauliwa na nyundo na kutupwa katavi, ukweli ni upi wakuu.
Hili limeniumiza sanaMdude hatukonae tena wamemuua.
sasa una msaada gani kujificha nyuma ya keyboard ikiwa una taarifa za uhakika dhidi ya kuumizwa kwa huyo muungwana mropokaji? kukaa kimya huku ukiwa na taarifa kamili za uhakika si ni kama vile uanasaidia kudhulumu haki za huyo muungwana gentleman?Watu wamepata taarifa za uhakika kuwa huyo Juma ndiye aliyeagiza Mdude auawe, naye alifanya hivyo kutii agizo la Mchengeraa, wewe unasema ni upotoshaji!! Kama wewe ndiye uliyetumwa kwenda kufanya huo ushenzi, toka hadharani useme kuwa hukutumwa na Juma, mtaje aliyekutuma, watu watakuamini, maana kauli itakuwa imetoka kwako mhusika mkuu.

Kwanini Waislamu wengi hawaoni taabu kumwaga damu ya mtuJuma Homera ni muuaji mzoefu!
uropokaji hua hauna maana yoyote kwenye uzushi gentlemanJuma Homera ni muuaji mzoefu!

aviziwe naye afanyiwe kitu mbayaHata mimi nimeona taarifa za siri kutoka kwa wazalendo ndani ya jeshi la Polisi Mbeya wakimtuhumu Homera kuwa ndiye mtekaji mkuu wa Mdude. Inaelezwa kuwa Mdude amefichwa kwa kuwa yupo katika hali mbaya. Homera ndiye aliyetuma kikosi kumteka Mdude hilo halina ubishi. Hizi siyo tetesi bali ni taarifa za uhakika kabisa.
Soma kuelewa sio kujibu.Basi tupe taarifa za uhakika mmemuua na kumpeleka wapi?
It is too late this timeWamuche tu jamaa arudi kulea familia yake,