Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Source?Mdude hatukonae tena wamemuua.
Source?Mdude hatukonae tena wamemuua.
Serikali ndo kinara wa hizi mamboInabidi serikali ikemee hayamamboaisee, mbaya sana hii.
Hakika mwanga wa jua haujawahi kutunza siri hata moja. Ni kiburi tu cha binadamu ndio huwa kinamdanganya kuwa kuna siri.Hakuna siri chini ya jua
Kwa yale niliyosikia RC Dar akiongea na press. Kwakweli nchi hii ina safari ndefu sana. Na mtu akiwa kiongozi hana cha kuogopa ili mradi ni wa ccmmashetani yataumbuka yote!!!!!!! soon
Bata mzinga, kichwa umejaza ma.vi mbwa ww.Pigaa hao
Chadema ni magaidi
Uhai wa mtu una thamani kuliko vyeo na madaraka. Itikadi za vyama hazitakiwi kuingiziwa na uhai wa watu.sasa una msaada gani kujificha nyuma ya keyboard ikiwa una taarifa za uhakika dhidi ya kuumizwa kwa huyo muungwana mropokaji? kukaa kimya huku ukiwa na taarifa kamili za uhakika si ni kama vile uanasaidia kudhulumu haki za huyo muungwana gentleman?![]()
Huyu Homera pia ndiye alimteka na kwenda kumuua yule Dogo Chaula. Hivi jamani huko Mbeya hata kwa uchawi mnashindwa kumuua huyu Homera atawamaliza,kama kuna mtaalamu tuko radhi kuchangia huyo shetani Homera aangamizweView attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
Kwamba yuko hai bado? Then This is Good News for People of GodHata mimi nimeona taarifa za siri kutoka kwa wazalendo ndani ya jeshi la Polisi Mbeya wakimtuhumu Homera kuwa ndiye mtekaji mkuu wa Mdude. Inaelezwa kuwa Mdude amefichwa kwa kuwa yupo katika hali mbaya. Homera ndiye aliyetuma kikosi kumteka Mdude hilo halina ubishi. Hizi siyo tetesi bali ni taarifa za uhakika kabisa.
Yani hata mimi inanipa mawazo sana,acha tu ndugu,nikiaona askari nahisi kama nimeona takataka gani sijuiHakuna kitu kinaninyima amani kama kupotezwa kwa mdude yaani sina amani kabisa mpaka nafikiria kujitoa mhanga.
huenda ubaya wangu ni kusema ukweli gentleman, kitu ambacho hakuna anaekipenda hata kidogo.Uhai wa mtu una thamani kuliko vyeo na madaraka. Itikadi za vyama hazitakiwi kuingiziwa na uhai wa watu.
Gentleman ustaarabu wako ni mdogo sana hivi huna imani inayotambua uumbaji wa Mungu

Ukweli anaujua RC HomeraMnatuchanganya makamanda, wengine ametekwa na kufichwa, wengine wana za ndani zaidi kauliwa na nyundo na kutupwa katavi, ukweli ni upi wakuu.
Mhusika mkuu atakemeaje?Inabidi serikali ikemee hayamamboaisee, mbaya sana hii.
Huyu nae ni wa kumpuuza,mwanzake Mwashambwa kunyamaza, yeye ni kutetea hata upuuzi!Watu wamepata taarifa za uhakika kuwa huyo Juma ndiye aliyeagiza Mdude auawe, naye alifanya hivyo kutii agizo la Mchengeraa, wewe unasema ni upotoshaji!! Kama wewe ndiye uliyetumwa kwenda kufanya huo ushenzi, toka hadharani useme kuwa hukutumwa na Juma, mtaje aliyekutuma, watu watakuamini, maana kauli itakuwa imetoka kwako mhusika mkuu.