Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Huyu Mkuu wa Mkoa anatuhumiwa pia kumpoteza yule Kijana Sanga aliyechoma picha ya Rais na kufungwa halafu akatoka baada ya kulipa faini na kuachiwa na Mahakama.
Modus Operandi...... !!🤔🤔🤔🤔🤔
 
huenda ubaya wangu ni kusema ukweli gentleman, kitu ambacho hakuna anaekipenda hata kidogo.

mbaya zaidi,
huwa sina ustahimilivu hata kidogo kuuvumilia upotoshajia amabao hauna maana yoyote.

na inashangaza sana eti madau wa JF mwenye akili timamu kabia anashupaza shingo kwenye tetesi hadi misuli ya shingo inamtoka :putinWalk:
🤣🤣🤣🤣
Gentleman we ni wa hovyo sana ila basi tu.
 
Kwani ccm iko juu ya sheria?
Ndio mimi ni Homera Mwinyimkuu Kiseule.
Yule RC wa Mbeya ni JUMA ZUBERI HOMERA.
Amekuwa maarufu ghafla. Kabla ya leo nilikuwa sijawahi kumsikia !!
 
Ana hofu ya yeye kubambikiwa kesi,maana mpelelezi wa kesi yake atakua ni yuleyule mtuhumiwa.
unafiki ni kitu mbaya sana dhidi ya dhuluma kwa haki ya mtu gentleman :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom