Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Matukio haya tulikuwa tunayasikia,kushuhudia yakifanyika nchi za jirani sasa yanatokea Tanzania.

Tulikuwa tunaona Serikali hizo kukosa ushawishi,hatimaye kuishia kudhulumu "haki,uhuru na demokrasia"

Sasa nchi ipo katika hali ya kuwa na watawala wanaotumia nguvu badala ya ushawishi wa hoja"

Hoja zinazotolewa zijibiwe badala ya kufanya matukio yenye kuharibu taswira ya nchi.Nani yupo tayari kubeba fedheha hii?!"kumbukumbu ya kila tukio inawekwa,tunaenda kutengeneza kizazi chenye maumivu,kisasi cha muda mrefu.

Yanayotokea sio afya kwa taifa letu.
 
huenda ubaya wangu ni kusema ukweli gentleman, kitu ambacho hakuna anaekipenda hata kidogo.

mbaya zaidi,
huwa sina ustahimilivu hata kidogo kuuvumilia upotoshajia amabao hauna maana yoyote.

na inashangaza sana eti madau wa JF mwenye akili timamu kabia anashupaza shingo kwenye tetesi hadi misuli ya shingo inamtoka :putinWalk:
Wewe huwa unasema ukweli gani zaidi ya Ukiroboto na Upumbavu tu? Mbona nawe pia unashupaza shingo kwa kutetea mauaji?,
 
Wewe huwa unasema ukweli gani zaidi ya Ukiroboto na Upumbavu tu? Mbona nawe pia unashupaza shingo kwa kutetea mauaji?,
calm down gentleman,
ukifumaniwa unamendea mke wa watu na ukauawa, mimi nina makosa gani gentleman dhidi ya tamaa zako? :putinWalk:
 
sasa una msaada gani kujificha nyuma ya keyboard ikiwa una taarifa za uhakika dhidi ya kuumizwa kwa huyo muungwana mropokaji? kukaa kimya huku ukiwa na taarifa kamili za uhakika si ni kama vile uanasaidia kudhulumu haki za huyo muungwana gentleman? :putinWalk:
Ana hofu ya yeye kubambikiwa kesi,maana mpelelezi wa kesi yake atakua ni yuleyule mtuhumiwa.
 
kuna watu wanajidanganya eti kwa kuwa wapo ccm basi wako salama na wanadhihaki wengine

ni suala la muda kama sio ndugu yako basi atakuwa mtegemezi wako
 
Waislamu kuwapa uongazi ni kosa kubwa sana
Hapana hii sio sahihi kusema hivi mwinyi alikuwa Bora kama alivyo mtoto wake na huyu mama amekuwa corrupted na siasa za bara ila wazanzibari Huwa wako poa sana.
 
Mhusika mkuu aliyemteka na kumuua mtetea haki za watanzania ni yule mzanzibari wa mitano tena ndiyo maana hajazungumza chochote.amejikausha kama vile hajahusika lakini ukweli yeye mwenyewe kamteka
 
Back
Top Bottom