Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Gentleman,
hiyo hainitatizi kusema ukweli hata kidogo,
bali inanipa nguvu na ujasiri wa kusema ukweli zaidi na bila kuchoka :putinWalk:
Sema nini gentleman utawala huu ni wa ajabu sana tuna machozi yetu tunatembea nayo ipo siku tutayamwaga hadharani na mtajitafakari sana. Ni suala la muda tu
 
Hawa ni baadhi tu.
mawaaazoo-pic.jpg

ben+saananee.jpg

kibao.jpg

soka-e1724250077267-1024x968.jpg

mdude.jpg

Nani atafuatia??
 
Sema nini gentleman utawala huu ni wa ajabu sana tuna machozi yetu tunatembea nayo ipo siku tutayamwaga hadharani na mtajitafakari sana. Ni suala la muda tu
Gentleman,
ni kiri tu kwamba huenda kuna dosari, kasoro na changamoto kidogo katika mambo madogodogo maeneo fulani fulani ya kiutendaji amabayo ni yakawaida kabisa katika siasa.

But kusema ati mnamachozi na kuna siku mtayamawaga, hilo ni jambo binafsi, huenda mmeachwa huko na wenza wenu, ni vizuri kutokusumbua wengine wasio husika.

Nivizuri kuatafuta kachumba kadogo ukajifungia huko ukaliia weeee na hatimae ukapata reief na kusonga mbele na mambo mengine :NoGodNo:
 
Vip unafuraha moyoni mwako unapoona mtu anatekwa na kuumizwa vibaya kwa ajili ya mtu kuto taka kukosolewa nankuambiwa ukweli, endeleeni kumlinda abduli na kundi lake waendelee kula mema ya watanganyika
Hawa nao ni vichaa! Mambo ya kusikitisha, yeye anashupaza shingo,Aibu hana.
 
Back
Top Bottom