Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

Kipindi cha magufuli alphonce mawazo aliuawa,azory gwanda alipotezwa,ben saanane,na wengine wengi waliuawawa na kupotezwa je magufuli alikuwa muislamu? Acha chuki zako za kipumbavu mjinga mkubwa wewe
Waislamu kuwapa uongazi ni kosa kubwa sana
[/QUOT
 
Kipindi cha magufuli alphonce mawazo aliuawa,azory gwanda alipotezwa,ben saanane,na wengine wengi waliuawawa na kupotezwa je magufuli alikuwa muislamu? Acha chuki zako za kipumbavu mjinga mkubwa wewe
Kuua siyo tatizo bali unaua kwa haki gani ? Je unaua wahuni wa taifa au unaua wazalendo..mimi nina amini sana kwenye kuua bila ya kuua uwezi kuiletea nchi maendeleo wala haki ....tagizo unaua kizalendo au kifisadi
 
Huku mtaani huzuni imetanda
Wananchi wameguswa na kusikitishwa sana na ukatili huu.

Ogopa sana
Watu kanisani wanamlilia Mungu juu ya huu ukatili..
Waasisi wa huu ukatili akiyanani hamtabaki salama, Hasira ya Mungu ni kali sana.
 
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
SAWA. Huyo naye ni "Askari wa Samia" kubaki madarakani.

Hawa wote kila sehemu walipo ni lazima wafichuliwe. Hawa ndio wanaotaka kumwaga damu ya waTanzania.
 
Sasa kuua kwa sami
Kuua siyo tatizo bali unaua kwa haki gani ? Je unaua wahuni wa taifa au unaua wazalendo..mimi nina amini sana kwenye kuua bila ya kuua uwezi kuiletea nchi maendeleo wala haki ....tagizo unaua kizalendo au kifisadi
a na magufuli kuna utofauti gani! Hivi kumbe kuna kifisadi na kizalendo? Hii mpya aisee 🙌🙌🙌
 
Kwahiyo kati ya magufuli nani anaua wahuni au ameua wahuni wa Taifa?
 
View attachment 3323749

Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo

Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

View attachment 3323747View attachment 3323748
I am travelling to Mbeya Tonight … get ready if you don’t bring him back …. Then let war begin!
#samiamustgo
#samiastepdown!
 
View attachment 3323749

Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo

Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

View attachment 3323747View attachment 3323748
Hivi watu wa aina hiyo wana dini kweli?
Je dini zao zinaruhusu kufanya matendo ya namna hiyo?
Watu wa namna hiyo wana watoto?
Wana ndugu?
Je wanavaa viatu vya wahanga wa matukio hayo?
Je Mungu akigeukia upande wao wataomba huruma yake?
 
Kwahiyo kati ya magufuli nani anaua wahuni au ameua wahuni wa Taifa?
Samia bushiri rafiki zake ni wahuni na adui zake ni wazalendo ...Jpm rafiki zake ni wazalendo na adui zake ni wahuni..neno muhuni kwa maana ya hizi dmfafanuzi za hapa maana yake WAHUNI NI WOTE WANAO CHUKIA WAZALENFO NA UZALENDO......Samia bushiri kwake mzalendo ni adui na uzalendo ni mavii
 
Mpuu

Zi mkubwa wewe Alphonse mawazo,azory gwanda,ben saanane walikuwa wahuni? Acha ufala wewe
 
Back
Top Bottom