View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
Alichukuliwa Sheria na Mungu mwenyewe akiwa Hotelin pale Morogoro. Na hotel yenyewe ikafungwa kwa hiyo nuksKwani yeye yuko juu ya sheria?
Ditopile alichukuliwa sheria na nani?
Shetani likubwaThe real villain in all this ni CHURA KIZIWI. Kwa kutaka kwake kuendelea kula mema ya nchi kaamua kubariki huu unyama wote.
100% wanasahau mtawala ako na Kinga.Chawa wanajipendekeza kwa kufanya vitendo vya kikatili ili kumfurahisha mtawala.
Watu walicheza na rada.. hotel ikaenda na maji pia.Alichukuliwa Sheria na Mungu mwenyewe akiwa Hotelin pale Morogoro. Na hotel yenyewe ikafungwa kwa hiyo nuks
Hivi kweli,unamfanyia mtu ukatili wa namna hiyo kisa tu anaikemea serikali kqa vitu vya kawaida kabisa.Nyundo ya kichwa walimuua pale pale, walichofanya wamekimbia na Maiti kwenda kuizika porini au kuitupa mbugani katavi au sehemu nyingine yenye fisi wakali.
Acha kuchafua imani za wenzako,hii ina uhusiano gani na maswala ya kiimani?Kwanini Waislamu wengi hawaoni taabu kumwaga damu ya mtu
Samia anahusika na kifo cha Mzee Kibao kwa 💯%! Waulize wana Tanga wakupe details!huenda walinzi binafsi wa heche ndio walimdulumu kibao, kweli au sio kweli gentleman?🐒
Sio wote,unazumzungumziaje Jamali Pumba Mahindi?Waislamu kuwapa uongazi ni kosa kubwa sana
Ndiyo nani huyo?Sio wote,unazumzungumziaje Jamali Pumba Mahindi?
Anauetuhumu ndiye apaswae kuleta ushahidiLeta ushahidi wako na wewe
No one above the law!!..hata trump anavunja sheria kwao huko,jidanganyeHuelewi hata maana nchi huru and no one above the law, utakuwa chawa au takataka tuu
Yeah ndo hivyo MkuuWatu walicheza na rada.. hotel ikaenda na maji pia.
DaaaahSamia anahusika na kifo cha Mzee Kibao kwa 💯%! Waulize wana Tanga wakupe details!
Sasa hivi wataua wangapi watateka wangapi watanambikia kesi wangapi? Maana niko huku mikoani Wananchi wote and I mean wote wanasema bila woga hawaogopi tena kama zamani.Hivi kweli,unamfanyia mtu ukatili wa namna hiyo kisa tu anaikemea serikali kqa vitu vya kawaida kabisa.