CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,395
- 5,011
Huyo mungu anasubiri nini kuchukua sheria dhidi ya watesi wa mdude?Alichukuliwa Sheria na Mungu mwenyewe akiwa Hotelin pale Morogoro. Na hotel yenyewe ikafungwa kwa hiyo nuks
Huyo mungu anasubiri nini kuchukua sheria dhidi ya watesi wa mdude?Alichukuliwa Sheria na Mungu mwenyewe akiwa Hotelin pale Morogoro. Na hotel yenyewe ikafungwa kwa hiyo nuks
Wanachi wote😂😂😂Sasa hivi wataua wangapi watateka wangapi watanambikia kesi wangapi? Maana niko huku mikoani Wananchi wote and I mean wote wanasema bila woga hawaogopi tena kama zamani.
Mimi ni Dereva natembelea karibia mikoa yote.Wanachi wote😂😂😂
Vipi wewe
Mkuu wabongo bado sana tumelala, unakumbuka ishu ya mange ilivyoitika mitandaoni, je uliwaona mtaani?Mimi ni Dereva natembelea karibia mikoa yote.
Ndio maana tunataka siasa za JINO kwa JINO.Jiwe alizuia mikutano na mboga mboga wakaendelea kufanya, je upinzani walifanya nini zaidi ya kuitwa na kunywa juice ikulu?
Hutazipata kwa watanzania wakiwa field, hizo utazipata mitandaoni.Ndio maana tunataka siasa za JINO kwa JINO.
Sasa usichoelewa ni nini mpaka uchanganyikiwe? Kwani task force hawawezi kuwa Policy mbona unajitekenya alafu unaruka mwenyewe.Makamanda mbona kama mnajamba kwenye maji na kucheka na babozi? Mnatuchanganya Sana mara polis walimchukua, mara taskfosi kwa raisi wa mkoa, tusimamie wapi wakuuuu? Anyway tuzidi kumuombea yawezekana yupo hai
Kama mnauhakika kaua na nyingi mwueni homera. Wakakutane mbele.View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
Serikali ni nani? Je nguvu ya serikali inatoka wapi,Inabidi serikali ikemee hayamamboaisee, mbaya sana hii.
Huko mbeya hamna wazee wa mila? Yani inapigwa fataki aliyepanga aliyemgusa wote kifo Cha style yake.View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
Ingependeza zaidi kama ungenipa namba ya mama yako ili nimwambie tabia yako mbaya.MPIGIE MKUU
Unauliza jibuKwani ccm iko juu ya sheria?
Ndio mimi ni Homera Mwinyimkuu Kiseule.
Moja ya mambo mabaya yalikuja na utawala wa JPM na kuota mizizi ni haya ya kupotezana.Mwl.Nyerere alisema ukimzoesha mtu kula nyama ya mtu hataacha ndio haya tunayoyaona.Tulizoea kusoma haya kwenye vitabu vya akina Ngugi wa thiong'o leo yapo kwetu.Ni ama to reshuffle taasisi na idara mbili zote ili kuleta watu wa wapya watakao kuwa na mtazamo mpya na kutotoa gap kwa raia nao kutumia hii mifumo kutima uovu au tuendelee na haya.Lakini ili angalau kupunguza Rais ni lazima aje public kutoa presidential statement ya kukemea ili sasa maji na mamafuta vijitenge.View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
Hata mm nilisikia hivyo, kijana wa watu kachoma picha yake..hata polisi hawakujua ameitoa wapi na kwa gharama Gani...ila wakaenda kumkamata na kumtesa hatimaye kupoteza kabisa...huyo jamaa kama ni kweli.....ajue hiyo nafasi Ina mda wake ataiachia atarudi mtaani tutaishi naye....sijui ataficha wapi sura yakeHuyu Mkuu wa Mkoa anatuhumiwa pia kumpoteza yule Kijana Sanga aliyechoma picha ya Rais na kufungwa halafu akatoka baada ya kulipa faini na kuachiwa na Mahakama.
Propaganda za kipuuzi. Mna ushahidi kuntu mnaenda Twitter? Si mngeenda mahakamani mkaiomba mahakama imwamrishe RC amlete huyo Mdudu!?View attachment 3323749
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
View attachment 3323747View attachment 3323748
Kila ubaya utalipwa tuPropaganda za kipuuzi. Mna ushahidi kuntu mnaenda Twitter? Si mngeenda mahakamani mkaiomba mahakama imwamrishe RC amlete huyo Mdudu!?
Ahahahahaha!!Kila ubaya utalipwa tu