Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

Hizo zilikuwa enzi za chama kimoja sio Sasa.

Anyway tatizo katiba yetu imetoa huo mwanya
Hii Katiba ni ile ya Chama kimoja Enzi za Chama kimeshika Hatamu πŸ˜…πŸ˜³πŸ™Œ

Ila ilifanyiwa marekebisho kidogo Enzi za Mzee Ruksa ili kuruhusu Vyama vingi !
 
Mkuu wa Mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm Mkoa, tunachopaswa kufanya kwa sasa ni kumtimua jeshini

Haitakaa kuja kutokea. Ndio maana General Ibuge amerudi tena jeshini. Hawa wanafanya kazi nyingi sana. Sio kuwachukulia kirahisi. Sio kama jamaa yetu wa AR
 
Ndio ni sahihi
 
Ccm wnyw wanasema kila mtu akizaliwa anakuwa n mwanaccm labla aamue mwnyw kukengeuka, n sawa na yule aliyegombea mwanamke aliyewahi kugombea urais enzi za JPM na akapewa ukuu wa mkoa wa Iringa akaambiwa lazima asimamie ilani ya ccm
Hadi saizi ni RC wa Manyara
 
Kitendo tu cha kukubali kuwa mkuu wa mkoa tayari anatekeleza ilani ya Ccm
 
Mbona waajiriwa wengi wa kwenye vyombo wanavaa? Mbona hata Dr Nchimbi amevaa na haujahoji? Sioni ubaya wa Uyo afande kuvaa nguo ya CCM.
 
Unawez tuzibitishia kuw hyo n nguo ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…