ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Hii Katiba ni ile ya Chama kimoja Enzi za Chama kimeshika Hatamu 😅😳🙌Hizo zilikuwa enzi za chama kimoja sio Sasa.
Anyway tatizo katiba yetu imetoa huo mwanya
Ila ilifanyiwa marekebisho kidogo Enzi za Mzee Ruksa ili kuruhusu Vyama vingi !