Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Kuna Taarifa kwamba Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magesa Mlongo, amemwangukia Mganga maarufu huko Misungwi ili Mh. Rais Amkumbuke kwenye Uteuzi wake, taarifa zinasema, mganga huyo ambaye pia ni diwani maarufu wa CCM huko Misungwi na aliyedumu kwa muda mrefu katika nafasi hiyo takribani vipindi 8 ni mganga mzoefu sana katika shughuli hizo ambapo ameombwa amfanyie vyovyote anavyoweza ili Mh. Rais ambakishe katika nafasi yake ya mkuu wa mkoa au amkumbuke katika nafasi yoyote.