Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Kuna Taarifa kwamba Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magesa Mlongo, amemwangukia Mganga maarufu huko Misungwi ili Mh. Rais Amkumbuke kwenye Uteuzi wake, taarifa zinasema, mganga huyo ambaye pia ni diwani maarufu wa CCM huko Misungwi na aliyedumu kwa muda mrefu katika nafasi hiyo takribani vipindi 8 ni mganga mzoefu sana katika shughuli hizo ambapo ameombwa amfanyie vyovyote anavyoweza ili Mh. Rais ambakishe katika nafasi yake ya mkuu wa mkoa au amkumbuke katika nafasi yoyote.
Tuendelee kuzungusha mikono mkuuKuna Taarifa kwamba Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magesa Mlongo, amemwangukia Mganga maarufu huko Misungwi ili Mh. Rais Amkumbuke kwenye Uteuzi wake, taarifa zinasema, mganga huyo ambaye pia ni diwani maarufu wa CCM huko Misungwi na aliyedumu kwa muda mrefu katika nafasi hiyo takribani vipindi 8 ni mganga mzoefu sana katika shughuli hizo ambapo ameombwa amfanyie vyovyote anavyoweza ili Mh. Rais ambakishe katika nafasi yake ya mkuu wa mkoa au amkumbuke katika nafasi yoyote.
Hata angekwenda Nigeria mlongo hafai na huu ndio mwisho wake kisiasaKuna Taarifa kwamba Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magesa Mlongo, amemwangukia Mganga maarufu huko Misungwi ili Mh. Rais Amkumbuke kwenye Uteuzi wake, taarifa zinasema, mganga huyo ambaye pia ni diwani maarufu wa CCM huko Misungwi na aliyedumu kwa muda mrefu katika nafasi hiyo takribani vipindi 8 ni mganga mzoefu sana katika shughuli hizo ambapo ameombwa amfanyie vyovyote anavyoweza ili Mh. Rais ambakishe katika nafasi yake ya mkuu wa mkoa au amkumbuke katika nafasi yoyote.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mulongo na Mulozi ni watu wa kuchomaaa!!
Wasi wasi wangu ni ndugu zetu wa pale buhangija sijui hali yao itakuwajeSafari hii ALBINO wajiandae
Mbona anazunguka sana na wakati kuna dawa ya uhakika hapa kinondoni, aongee vizuri tu na Makonda atamsaidia tena mambo yatajibu kabla hata ya uteuzi rasmiKuna Taarifa kwamba Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magesa Mlongo, amemwangukia Mganga maarufu huko Misungwi ili Mh. Rais Amkumbuke kwenye Uteuzi wake, taarifa zinasema, mganga huyo ambaye pia ni diwani maarufu wa CCM huko Misungwi na aliyedumu kwa muda mrefu katika nafasi hiyo takribani vipindi 8 ni mganga mzoefu sana katika shughuli hizo ambapo ameombwa amfanyie vyovyote anavyoweza ili Mh. Rais ambakishe katika nafasi yake ya mkuu wa mkoa au amkumbuke katika nafasi yoyote.
Nashangaaa mimi nimetuma post zangu mood hawazirusu tena za maana ila watu wanapost mambo ya hovyo hovyo hayana hata tija kwa Taifa mood wanazirusu.. kulikoni JF?JF inaelekea kubaya...mods wanaruhusu vipi uzi wa aina hii?!
Ukitaka kula hela zao sasa ni kuweka bango, "MGANGA MAARUFU KUTOKA MWANZA, ANASAFISHA NYOTA"
si tetesi mkuu may be amejifikirisha mwenyweChanzo
Masters ya nini? Alijiendeleza lini maana alikua 'suka' pale magogoni kabla ya kuzawadiwa u-dc bagamoyo!Taifa linaloamin ushirikina. Si huyu jamaa ana masters?