Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amwangukia Sangoma

Hahahahahahaha! Siamini kabisa kama sangoma atafaulu kuvunja ngome ya ikulu na kumfikia Rais ni afadhani basi angeanza kwenda kanisani na kumuomba Mungu.
 
Kuna MZEE alitafuta urais kwa kuvaa Pete LA kishetani mkono wa kuria,
Lkn haikumsaidia
Nao wanapoteza muda, wajifunze kwa huyo MZEE,
Njia pekee ni
1,uadirifu wako,
2, ubunifu
3, kujituma
4, na uwezo wa kuongeza,
Basi kama wewe ni mchafu wapishe waadirifu,
 
Magesa Mulongo yule anae ongea analambalamba midomo...km ni uyu ni bora ata Mkoa usiwe na RC uyu hafai ata nukta...
 
Mleta mada tuwekee chanzo cha habari hii usituletee habari za kuokoteza. Nadhani Mulongo kisha kusoma akusukumizie ndani upambane na sheria ya mtandao.
 
Mtemi Chenge nae alikamatwa na Camera za bunge akiwa anamwaga sijui unga...uchawi ni desturi ya wanasiasa
 
Kumbe ndio maana wauwaji wa maalbino hawakamatwi, washirika ndio haohao wanaosema tunawalinda kwa kutumia majukwa ya siasa...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mulongo na Mulozi ni watu wa kuchomaaa!!

Hahahahahaaaaa! Kusemasema balisema tumechokaaa.... Mulongoo na Mulozi, ni watu ya....... Hahahahaaaa!
 
Washauri wa Rais wanatakiwa wamsisitize mheshimiwa aharakishe kuwateua maRC na maDC kabla upepo huu mpya haujashika kasi.
 

Attachments

  • 1455689775411.jpg
    86.3 KB · Views: 43
Wasi wasi wangu ni ndugu zetu wa pale buhangija sijui hali yao itakuwaje
RAS wa MWANZA sii ni Kamishna wa polisi? Basi atumie maujuzi yake kuwalinda wale Vijana pale Buhangija dhidi ya huyu mtaka vyeo. Ulinzi uimarishwe hadi teuzi zote zipite.
Kumbe huyu MTU no hatari hivi?
 

NON SENSE-kwa nini huyo diwani asifanye akakumbukwa na yeye?kwani yeye hataki ukubwa?
 
Huyo Mulongo ni JIPU ambalo lenyewe limeshatumbuka kiaina, lililelewe na serikali ya awamu ya 4 iliyokuwa inabeba marafiki na kujuana na SIO utendaji!
 
We sema tu kama amemtafutia huyo mganga, albino wa kafara!!
 
For now tunataka fikra mpya ,hivi hawa viongozi wanafikiri hakuna wasomi wengine wenye maoni tofauti na ya kwao???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…