Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amwangukia Sangoma

RAS wa MWANZA sii ni Kamishna wa polisi? Basi atumie maujuzi yake kuwalinda wale Vijana pale Buhangija dhidi ya huyu mtaka vyeo. Ulinzi uimarishwe hadi teuzi zote zipite.
Kumbe huyu MTU no hatari hivi?
Mkuu ogopa mtu anaye penda kufanya kazi kwa sifa,yupo tayari kufanya lolote ili mradi aendelee kubakia kwenye nafasi
 
NON SENSE-kwa nini huyo diwani asifanye akakumbukwa na yeye?kwani yeye hataki ukubwa?
Huyo diwani ameridhika na huo udiwani wake na hatoki labda yeye aamue kuuwachia
 
Huyo labda siyo Mulongo ninayemjua mimi

Kabisa Mkuu hawa wote wanaepiga kelele humu juu ya Bwana Mulongo ni UKAWA/CHADEMA ambao kawanyoosha kisawasawa (mfano ushindi wa CCM Mwanza) popote anapowajibika na kukutana nao kama kizingiti.
 

Honestly mimi siyo mshabiki wala adui wa Mlongo Ila ulichoandika, ni wazi kuwa wewe ni mtu nambari moja unayeamini mambo ya Sangoma na ni MTU unayesitahili kupuuzwa katika posts zako zote!!!
 
Honestly mimi siyo mshabiki wala adui wa Mlongo Ila ulichoandika, ni wazi kuwa wewe ni mtu nambari moja unayeamini mambo ya Sangoma na ni MTU unayesitahili kupuuzwa katika posts zako zote!!!

Bila shaka ni kati ya wale Mulongo aliyewatumbua Mwanza juzijuzi...
 
amedumu kwa vipindi 8?!unamaanisha amekuwa diwani kwa miaka mingapi?! kila kipindi ni miaka 5!!!!sidhani nitakuwa sijaelewa!
 
Ndo sera ya chama chake wanategemea sana uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…