R RtsHjcq JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 4,753 Reaction score 5,517 Mar 23, 2021 #21 Mongella kafafanua vzr... Nahisi huko kitaumana Mwanza itakuwa funga kazi..nahisi mpaka watu wa Shy,Tabora + pembezoni mwa Geita watafika.
Mongella kafafanua vzr... Nahisi huko kitaumana Mwanza itakuwa funga kazi..nahisi mpaka watu wa Shy,Tabora + pembezoni mwa Geita watafika.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Mar 23, 2021 #22 Nachukia sana hawa viongozi kutoa matamko baada ya maafa kutokea...ili ilitakiwa itolewe mwanzoni kabisa.
Nachukia sana hawa viongozi kutoa matamko baada ya maafa kutokea...ili ilitakiwa itolewe mwanzoni kabisa.
mtaa umetulea JF-Expert Member Joined Nov 17, 2020 Posts 1,842 Reaction score 2,391 Mar 23, 2021 #23 Safi sana mh RC
VAPS JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 5,611 Reaction score 13,177 Mar 23, 2021 #24 Mwanza natumai watafanya utaratibu kama wa Dodoma, watu waage mitaani na kuzungushwa uwanjani pekee.
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,364 Reaction score 6,264 Mar 23, 2021 #25 Haya_Land said: Pia wavae barakoa Click to expand... Haya_Land said: Uvaee barakoa kwenye jua la 33 centigrade kwa masaa 6 ? Click to expand...
Haya_Land said: Pia wavae barakoa Click to expand... Haya_Land said: Uvaee barakoa kwenye jua la 33 centigrade kwa masaa 6 ? Click to expand...
P Phillemon Mikael Platinum Member Joined Nov 5, 2006 Posts 10,590 Reaction score 8,726 Mar 23, 2021 #26 Tayari Watu Fulani Wanaanza Kujinasibu kuwa Wao ndio watabeba ndoto ya kutetea Wanyonge ( Misukule) ;
Tayari Watu Fulani Wanaanza Kujinasibu kuwa Wao ndio watabeba ndoto ya kutetea Wanyonge ( Misukule) ;
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,680 Reaction score 6,382 Mar 23, 2021 #27 Ushauri na wala sio katazo