Hii bodi ya ligi ni Virus ya mpira wetu, sasa unamfungiaje mtu bila kumtaadharisha na kumpa mda wa marekebisho, na pia mazingira ya miundo mbinu ya viwanja vya michezo kuwa michache hapa Tz hasa mikoani, huwezi kurupusha kufungia watu kimihemko hivi🚮🚮Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.
Ariana unafatilia mpira kiasi hichi..?Hapo hapo cCM KIRUMBA ,Tabora United wamehamia wamepiga mechi moja tu uwanja umefungwa.. sijui wataenda kucheza Manungu Turiani au...
Uwanja ambao binafsi niliuona haufai uwanja ule wa Tabora Ali Hassan/ Uwanja Wa Singida Bs / sokoine kwa Ken Gold /Ule wanaoutumia COASTAL ARUSHA....mara 100 uwanja wa mashujaa
Wahuniii wakubwaa waleeeHii bodi ya ligi ni Virus ya mpira wetu, sasa unamfungiaje mtu bila kumtaadharisha na kumpa mda wa marekebisho, na pia mazingira ya miundo mbinu ya michezo kuwa michache hapa Tz hasa mikoani, huwezi kurupusha kufungia watu kimihemko hivi🚮🚮
Waende Dodoma, japo uwanja wao wanaufanyia marekebisho.Hapo hapo cCM KIRUMBA ,Tabora United wamehamia wamepiga mechi moja tu uwanja umefungwa.. sijui wataenda kucheza Manungu Turiani au...
Uwanja ambao binafsi niliuona haufai uwanja ule wa Tabora Ali Hassan/ Uwanja Wa Singida Bs / sokoine kwa Ken Gold /Ule wanaoutumia COASTAL ARUSHA....mara 100 uwanja wa mashujaa
Dodoma napo sio pamefungwa?Waende Dodoma, japo uwanja wao wanaufanyia marekebisho.
Unafuatilia mpira kuliko wanaume wengi nikiwemo mimi, hongera kwa hilo.Dodoma napo sio pamefungwa?
Singida wamehamia KWARAA MANYARA
Nashabikiaga Madrid ila tangu waondoke wakina Benzema/Marcelo/Ronaldo/Ramos nikaachaga kushabikia mana hata ivyo majuu mm sio shabiki saana nasapoti ligi ya ndaniUnafuatilia mpira kuliko wanaume wengi nikiwemo mimi, hongera kwa hilo.
Vipi huko Ulaya unashabikia timu ipi?
Afu kubet mi sio vitu vyangu kabisa😆😆😆 ndo starehe yangu mpya mana hela ya kwenda Samaki Samaki skuizi sinaAriana unafatilia mpira kiasi hichi..?
hebu kwanza nipatie mkeka inaonekana hata kubet unajua wewe...🤣
Afadhali haushabikii Man U ungeugua ugonjwa wa moyoNashabikiaga Madrid ila tangu waondoke wakina Benzema/Marcelo/Ronaldo/Ramos nikaachaga kushabikia mana hata ivyo majuu mm sio shabiki saana nasapoti ligi ya ndani
Hawa wakina Vin na Camavinga mm kwakweli hapana
unaona aibu kusema ukweli, sema tu hatukuchinji...🤣Afu kubet mi sio vitu vyangu kabisa😆😆😆 ndo starehe yangu mpya mana hela ya kwenda Samaki Samaki skuizi sina
😆Amnaunaona aibu kusema ukweli, sema tu hatukuchinji...🤣
HahahahaAfadhali haushabikii Man U ungeugua ugonjwa wa moyo
Haya mi nimekupenda nahitaji kukuoa hapo vipi...?😆Amna
"Nasadiki kwa Mungu baba mwenyezi"mimi sibet kabisa
Hapo pabayaHaya mi nimekupenda nahitaji kukuoa hapo vipi...?