Mkuu wa Mkoa wa Mwanza "ashtushwa" kufungiwa kwa kiwanja cha CCM Kirumba

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.

Hapo hapo cCM KIRUMBA ,Tabora United wamehamia wamepiga mechi moja tu uwanja umefungwa.. sijui wataenda kucheza Manungu Turiani au...
Uwanja ambao binafsi niliuona haufai uwanja ule wa Tabora Ali Hassan/ Uwanja Wa Singida Bs / sokoine kwa Ken Gold /Ule wanaoutumia COASTAL ARUSHA....mara 100 uwanja wa mashujaa
 
Hii bodi ya ligi ni Virus ya mpira wetu, sasa unamfungiaje mtu bila kumtaadharisha na kumpa mda wa marekebisho, na pia mazingira ya miundo mbinu ya viwanja vya michezo kuwa michache hapa Tz hasa mikoani, huwezi kurupusha kufungia watu kimihemko hivi🚮🚮
 
Hapo hapo cCM KIRUMBA ,Tabora United wamehamia wamepiga mechi moja tu uwanja umefungwa.. sijui wataenda kucheza Manungu Turiani au...
Uwanja ambao binafsi niliuona haufai uwanja ule wa Tabora Ali Hassan/ Uwanja Wa Singida Bs / sokoine kwa Ken Gold /Ule wanaoutumia COASTAL ARUSHA....mara 100 uwanja wa mashujaa
Ariana unafatilia mpira kiasi hichi..?
hebu kwanza nipatie mkeka inaonekana hata kubet unajua wewe...🤣
 
Hii bodi ya ligi ni Virus ya mpira wetu, sasa unamfungiaje mtu bila kumtaadharisha na kumpa mda wa marekebisho, na pia mazingira ya miundo mbinu ya michezo kuwa michache hapa Tz hasa mikoani, huwezi kurupusha kufungia watu kimihemko hivi🚮🚮
Wahuniii wakubwaa waleee
 
Hapo hapo cCM KIRUMBA ,Tabora United wamehamia wamepiga mechi moja tu uwanja umefungwa.. sijui wataenda kucheza Manungu Turiani au...
Uwanja ambao binafsi niliuona haufai uwanja ule wa Tabora Ali Hassan/ Uwanja Wa Singida Bs / sokoine kwa Ken Gold /Ule wanaoutumia COASTAL ARUSHA....mara 100 uwanja wa mashujaa
Waende Dodoma, japo uwanja wao wanaufanyia marekebisho.
 
Yeye mkuu wa mkoa SI alijifanya mhuni,wahuni wenzie wakakagua mbuzi kwenye magari ya simba.NYUNDO NYUNDO TU.
 
Unafuatilia mpira kuliko wanaume wengi nikiwemo mimi, hongera kwa hilo.

Vipi huko Ulaya unashabikia timu ipi?
Nashabikiaga Madrid ila tangu waondoke wakina Benzema/Marcelo/Ronaldo/Ramos nikaachaga kushabikia mana hata ivyo majuu mm sio shabiki saana nasapoti ligi ya ndani
Hawa wakina Vin na Camavinga mm kwakweli hapana
 
Ariana unafatilia mpira kiasi hichi..?
hebu kwanza nipatie mkeka inaonekana hata kubet unajua wewe...🤣
Afu kubet mi sio vitu vyangu kabisa😆😆😆 ndo starehe yangu mpya mana hela ya kwenda Samaki Samaki skuizi sina
 
Nashabikiaga Madrid ila tangu waondoke wakina Benzema/Marcelo/Ronaldo/Ramos nikaachaga kushabikia mana hata ivyo majuu mm sio shabiki saana nasapoti ligi ya ndani
Hawa wakina Vin na Camavinga mm kwakweli hapana
Afadhali haushabikii Man U ungeugua ugonjwa wa moyo
 
Badala ya kufungia simba waliofanya uhuni kwa kukimbia dabi, unaenda kufungia uwanja ambao hauna kosa
 
Binafsi naona wafungie tu waache viwanja hata viwili tu vya maana,Hii serikali ipo nyuma sana katika kuimprove miundombinu ya michezo na sio kama hawawezi wanaweza vizuri tu sema upigaji.

Nyasi za kisasa kama zile za Mo Arena thaman yake hata haizidi million 100 lakn serikali ya ccm imeshindwa kutenga angalau billion 2 tu iweke nyasi za kisasa kwenye viwanja 20 vya Ccm vilivyopp mikoani.

Naangaliaga ligi kuu ya South Africa,wenzetu South mechi zao nyingi za ligi yao zinachezwa kwenye viwanja vya kawaida tu vile ambavyo havikutumika kwenye kombe la dunia 2010 wamewekeza kwenye viwanja hadi raha
 
Back
Top Bottom