hivi mkuu wa mkoa wa pwani Bi. Mwantumu Mahiza anawaza nini kichwani kwake?
kufunga shule ya wanafunzi ambao wanatarajia kufanya mitihani ya mwisho mwezi wa pili mwaka huu maana yake nini, tena mpaka leo shule haijulikani inafunguliwa lini!
watoto wanaosoma mchepuo wa science wako nyumbani wanajisomea theory, practical wafanye wapi?
huyu mama simuelewi kabisa,,au kwasababu hana mtoto wake pale?
watoto tuwapeleke shule gani saizi..
inaniuma sana na namuona huyu mama IQ yake ni tatizo...em awze na kuchukua hatua haraka,,,elimu sio propaganda kama siasa.:evil: