Mkuu wa Mkoa wa Pwani SIMUELEWI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani SIMUELEWI

diptumba

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
5
Reaction score
1
hivi mkuu wa mkoa wa pwani Bi. Mwantumu Mahiza anawaza nini kichwani kwake?
kufunga shule ya wanafunzi ambao wanatarajia kufanya mitihani ya mwisho mwezi wa pili mwaka huu maana yake nini, tena mpaka leo shule haijulikani inafunguliwa lini!
watoto wanaosoma mchepuo wa science wako nyumbani wanajisomea theory, practical wafanye wapi?

huyu mama simuelewi kabisa,,au kwasababu hana mtoto wake pale?
watoto tuwapeleke shule gani saizi..
inaniuma sana na namuona huyu mama IQ yake ni tatizo...em awze na kuchukua hatua haraka,,,elimu sio propaganda kama siasa.:evil:
 
Ndugu tufafanulie vizuri ili tupate pa kuanzia kuchangia.Mpaka hapo bado sijapata point yako kabisa.
 
Ndugu tufafanulie vizuri ili tupate pa kuanzia kuchangia.Mpaka hapo bado sijapata point yako kabisa.
Mkuu wa mkoa wa pwani amefunga shule ya Bagamoyo sekondari kwa muda wa takribani miezi miwili kwasababu ya tofauti za kidini kati ya wanafunzi ambapo wanafunzi waislam walidai shule inawapendelea wanafunzi wakristu.
sasa mpaka muda huu shule haijafunguliwa na wanafunzi wa form six ambao wanatarajia kufanya mitihani feb bado wako nyumbani.
mkuu wa shule hiyo yuko tayari masomo yaendelee lakini kwasababu aliyeamuru shule ifungwe na kutoa nauli za kusafirisha wanafunzi makwao ni serikali chini ya mkuu wa mkoa,yeye hawezi kuchukua jukumu hilo mpaka mkuu huyo wa mkoa ndo atoe maamuzi.
muda umeenda na sijui kama wabnafunzi hao wataweza kufanya mitihani,,hawa wanafunzi wakifeli wote kwea kutomalizia syllabus nani alaumiwe?ni kwamba amesahau alifunga shule au?SIMUELEWI HUYU MAMA KABISA.
 
acha iwe fundishe kwa hao,kwani shuleni walikwenda kusoma ukristu na uislamu?
isitoshe serikali yetu haina dini,kwanini wao walete maswala ya dini shuleni?
 
Back
Top Bottom