Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

Huu uzi bado nipo kidato na suruali nyeusi na shati jeupe[emoji23][emoji23]
 
Mmmh, 2006 mimi nipo la 4, huu uzi shikamoo
 
It is terrible! I cant believe am reading this, it is like I am just dreaming!

Sasa tuone hiyo sheria kama itauma kweli. Tulimsifia sana JK jinsi alivyohandle ile kesi ya Sinza; nafikiri huu ndio mtihani mkubwa zaidi kwa JK kuliko ule wa Sinza.
Mmmh
 
Hakuna tofauti na mishe za akina Makonda, Sabaya, .... Ditopile akaja hukumiwa na mahakama ya wanyonge.
Ahsante teknolojia kusaidia kutukumbusha tulikotoka.
 
Nasikia Braza Ditto alikuwa "Bestman" wa Mkulu aliyekuwa anatawala kipindi kile cha "bastola"! Ahahahahahahahah!!!
 
It is terrible! I cant believe am reading this, it is like I am just dreaming!

Sasa tuone hiyo sheria kama itauma kweli. Tulimsifia sana JK jinsi alivyohandle ile kesi ya Sinza; nafikiri huu ndio mtihani mkubwa zaidi kwa JK kuliko ule wa Sinza.
Kitila Mkumbo unaendeleaje Bungeni pale
 
now kwa wale wageni JF just look comments na michango mbalimbali ya wanajf wa those days from 2006 up to 2015... People were very smart sana jf, michango ilikua moto sana na ya kufikirisha na kujifunza, watu walikua wanaleta mada fikirishi na michango ya kuvutia hisia hasa, but now days daahh jf imejaa watu wa ajabu sana, hakuna mada moto moto za kufikirisha, mada nyingi za kipuuzi ndo zimejaa na comment za kishamba kishamba na za kipuuzi.... i miss JF of those days.
 
Hayo yanaitwa maendeleo
 
Unajua kwa nini?

In 2006 ilikuwa uwe na personal computer au laptop na access ya internet lazima itakuwa una degree japo moja. Sasa hivi muuza karanga na madafu anachangia humu, am talking in a positive note!
 
Apumzike kwa amani
 
2006 nipo darasa la pili jamia nooria. Naishi ukwamani hapo home. Hii stori ilitrend sana mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…