Mkuu wa Nchi hana huruma kwa raia wa hali ya chini? Hali ya Chakula nchini ni mbaya

Kwahiyo we unataka wafanyabiashara wale wapi? Acha wivu we mTanzania! Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.

Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.

Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.

Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
 
Raisi aliyekua anawafikiria wanyonge
Sindio mlimuita dikteta
Yule alikuwa muuaji na kila aina ya uovu, tatizo wengi mnapenda kubebwa bafala ya kufanya kazi ujiingizie kipato mnabaki kulaumu kama watoto yatima
 
Kwani hao wanyonge wamenyimwa kulima hayo mahindi na maharagwe!! Walinyimwa kuhifadhi hayo mahindi na maharagwe kwa ajili ya kesho yao!!

Kuna kipindi kiongozi mmoja aliwaambia jamaa fulani yeye hajaleta tetemeko wakajitafutie chakula wenyewe!! Ckumbuki alikuwa Rais wa nchi gani!!

Watanzania tujifunze kupigania kesho yetu wenyewe siyo kumtegemea Rais kukuletea ugali mezani!!
 
November anakwea pipa to Beijing
Bandari ya Bagamoyo itajengwa ya kina yang kibadach tutake tusitake.

sisi wa hali ya chini tutastrave, tutakufa na ardhi ya kutuzikia haitakosekana
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.

Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.

Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.

Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
 
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.

Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.

Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.

Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
Sio kila kiongozi ni kiongozi.
 
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.

Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.

Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.

Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
Ungekuwa una akili hata za kuvukia barabara ungegundua hiyo ni FURSA. Una mwezi wa tatu unaandika kuhusu bei za chakula na bado hujafa kwa kushindwa kununua. Hakuna mtanzania hata mmoja amekufa kwa kupanda kwa bei za vyakula.

Acha ujinga tumia FURSA hii ya kupanda bei ya vyakula kwa kijishirikisha na mnyororo wa thamani kwenye kilimo.
 
Back
Top Bottom