MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 924
- 1,096
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.
Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.
Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.
Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
Kwa akili yako uliona ni sahihi waachwe wauze mazao bila control ili maharage tununue elfu 4 kama ilivyo sasaWanyonge gani aliwafikiria kuna wanyonge zaidi ya wakulima mbona bei za mazao zilishuka na kukopwa mazao.
siyo dikteta tu, mnyonya damu za watu.Raisi aliyekua anawafikiria wanyonge
Sindio mlimuita dikteta
Tatizo lenu mnadhani mauaji ndiyo suluhisho, ona akili yako inavyofikiri kama bwana yule. Mkiitwa waovu mnachukia wakati ukweli uko dhahiri kama comment yako hiiAlisahau kukuu*na ww takataka
Alipewa majina ya kila Aina. Sasa ndio wanajua Pumba na Mchele ni Upi wacha Mama Anyooshe mpaka wanyooke.Raisi aliyekua anawafikiria wanyonge
Sindio mlimuita dikteta
Kwa akili yako uliona ni sahihi waachwe wauze mazao bila control ili maharage tununue elfu 4 kama ilivyo sasa
Huu ndio muda mkulima atafurahia maisha, serikali imefanya jambo jemaNyie wehu tulieni.
Mlipiga kelele kuwa 70%-75 % ni wakulima.
Sasa Rais kaonyesha utu kwa wakulima ili waneemeke kwa kuuza mazao yao bei nzuri mnakasirika.
Mlikuwa mnaona raha kununua MAHINDI gunia sh. 30000 huku gharama ya kuzalisha gunia moja ni zaidi ya sh. 50000.
Tulieni wendawazimu nyie.
ulitaka aingie shambani akalime ndo ujue ana anachofanya?Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.
Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.
Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.
Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
Na walimuita jiwe n.k Leo Maji tunaita mama ,siku zote mchelee na pumba hujitenga mapemaa sana!Raisi aliyekua anawafikiria wanyonge
Sindio mlimuita dikteta
Pembejeo na mbolea walinunua bei gani na sasa ni bei gani?Mnataka kuwa control wakulima kwa sababu zipi?
Hao wakulima wanapolima huwa mnawapa mbolea bure? Mnawapa maji ya kumwagilia? Mnawapa matretka au kuwasidia kushika jembe shambani?
Hao walikuwa wamefanya nini hadi awanyonye damu?siyo dikteta tu, mnyonya damu za watu.