REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Wao wafukuzane tu. Ila kikubwa sisi watuletee tuwe huru ya uchaguzi.
Taarifa zilizo tufikia kupitia vitengo vyetu vya udukuzi wa taarifa upo mpango wa kuwaondoa baadhi ya mawaziri walipo kwenye baraza la mawaziri walioshindwa kuendesha wizara zao kwa ufanisi.
Baada ya kushambuliwa baadhi ya mawaziri bungeni hapa ikulu vikao haviishi kuhusu namna ya kulisuka upya baraza la mawaziri ambalo linasadikiwa kukosa mvuto kwa wabunge na jamii kwa ujumla.
Japo swala hili linajadiliwa kwa usiri mkubwa ila mpaka sasa wapo baadhi ya mawaziri wameshaitwa ikulu kuhojiwa juu ya utendaji wao na wengine kuandikiwa barua za onyo wa mwenendo wao.
Pia mjadala mwingine uliopo ikulu ni ule wa mgogoro mzito ulipo kati ya waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh lukuvi na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ambao umeonekana kubeba sura ya kuiaibisha serikali kwa massage alio tuma mh lukuvu kwa paul makonda ya kusema "wewe ni nani kwenye serikali hii? mbona unaingilia m