GE2025 Mkuu wa Polisi Mtwara: Tuache kuangalia wengine wanafanya nini. Mtwara iko moja tu mambo yakichafuka hakuna nyingine

GE2025 Mkuu wa Polisi Mtwara: Tuache kuangalia wengine wanafanya nini. Mtwara iko moja tu mambo yakichafuka hakuna nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Kila mtu atalinda kitu anachoona kina faida.

Watanzania endeleeni kulinda amani wakati ma-burgeoisie wataendelea kulinda malambogini na maferari ambavyo yamejazana kule Masaki.

========================

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amewataka wananchi wa Mkoa wa Mtwara, kamwe wasijaribu kutumika wala kuiga mambo, yanayoweza kuvuruga amani ya mkoa na badala yake wawe sehemu ya kulisaidia Jeshi la Polisi, kulinda amani kipindi chote cha kampeni na siku ya kupiga kura Oktoba 29

 
Hili ni likichaa kabisa ni kichaa huyu. Amani ya maviongoz kujtajirisha kuptia kodi zetu yaan tuendelee kuumia na kuzama kwny umaskin wa kutisha hata maji tu hakuna eti ksa amani ya manyanyaso aman ya maviongoz majiz kuendelea kukopa kulipa tulipe sisi mafao kikokotoo hakiwahusu wamejiwekea sheria za kutoshtakiwa mamamaeee walahi bongo bahati mbaya mkuu wa wilaya ana gari la mil 500 wkt machine ya kusafsha figo ni mil 200 tu hata hosp tu ya mkoa hakuna mashine iyo halafu hii k.uma inasema aman wao wakiugua hata kpanda uso wanakwea pipa to india mamamaeee walahi.
 
Wanatuona wajinga sana sisi?

Yani amani wakae nayo wao mfukoni halafu waanze kututisha wananchi. Mwaka huu wataelewa.
 
Back
Top Bottom