Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

Amina
Sikubliani na maoni yako. Nadhani wewe huna empathy ndiyo maana unaandika hivi. Kwenye maisha binadamu tunatakiwa tusaidie pale tunapoona wenye shida. Huyu jamaa alifanya jambo zuri sana na ni mfano wa kuigwa.
 
Kwanza kabla ya yote tafuta mwanasheria
Atakusaidia pa kuanzia, mambo ya Sheria usipambane mwenyewe bila wakili.
 
Dunia inamambo mengi sana
[emoji24][emoji24]
Pole saana Ndugu
 
Uko mkoa gani
 
Sasa wew jamaa mwanamke alishakubaliana nahuyo ticha ampe kipapa ili mtoto asome wewe ikawaje ukaingilia mpango wamwanaume mwenzio hapa inaonyesha unawivu
 
Sasa wew jamaa mwanamke alishakubaliana nahuyo ticha ampe kipapa ili mtoto asome wewe ikawaje ukaingilia mpango wamwanaume mwenzio hapa inaonyesha unawivu
Naomba usome tena vizuri bila hisia hasi naamini utaelewa ni kwa nini nilifanya vile.
Pia fikiria mfano angekuwa yule mama ni dada yako au mke wa kaka yako ungeacha anyanduliwe tu?
 
Naomba usome tena vizuri bila hisia hasi naamini utaelewa ni kwa nini nilifanya vile.
Pia fikiria mfano angekuwa yule mama ni dada yako au mke wa kaka yako ungeacha anyanduliwe tu?
Ishu nikwamba umesema japo ilikua ngumu ila alikubali aliwe kwasiku 3 ili tu mtoto wake asome hapa ungekausha aliwe hawa wanawake kutoa mwili kama zamana hawana hiyana ata akiwa dadako
 
Naomba usome tena vizuri bila hisia hasi naamini utaelewa ni kwa nini nilifanya vile.
Pia fikiria mfano angekuwa yule mama ni dada yako au mke wa kaka yako ungeacha anyanduliwe tu?
Naamini na wewe una matatizo ila umeamua kuyaweka matatizo ya mkuu tu hapa. Inaonekana ni mtu unayependa ligi na boss wako, mjuaji flan. Maisha ya aina hiyo yanataka umakini sana Kwan ukiteleza kidogo hutapata Mtu wa kukusaidia. Jifunze kufanya mambo yako, taasisi yoyote utakoyoenda utakuta Kuna mambo ya watu, vitu vya Watu na Watu wa Watu, Jiepushe navyo mkuu , si unaona Hata uliolenga kumsaidia asigongwe Hana Msaada kwenye shida zako Tena amekua sehemu ya kukukandamiza zaid, ungeacha akagongwa ungepungukiwa Nini?

Unapopata shida kubwa, hasa kesi ya kiutumishi pambana uisolve kabla haijaenda hatua ya juu zaid, kadri unavyochelewa Ndio inavyozidi kupiga hatua, namna inavyopiga hatua Ndio inazidi ugumu wa kutatua. Hiyo kesi ilikua inaishia shuleni tu ila ujuaji wako Ndio umekufikisha hapo.

Ushauri nenda CWT watakusaidia, kama ni kuongea na mwajiri Au kupeleka kesi mahakamani na Kama unaweza kamuone DED uongee Naye ana Kwa ana. Hapo hujafukuzwa Bado, umepigwa tu DP. Unapoweza kujishusha Ili kumaliza shida, jishushe ila sio Kwa kubaki kesi kimaandishi,Naamini Kwa uwezo wa Mungu yataisha.
 
Hapo hakuna kesi
Huwezi kuendesha kesi kienyeji hivyo
Ni ushahidi gani wa kuthibitisha kuwa una mahusiano na binti?
Cwt hawajakupa mwanasheria?
 
Nimekuelewa mkuu
 
Ishu nikwamba umesema japo ilikua ngumu ila alikubali aliwe kwasiku 3 ili tu mtoto wake asome hapa ungekausha aliwe hawa wanawake kutoa mwili kama zamana hawana hiyana ata akiwa dadako
Aliniomba msaada nimsaidie ni kitu gani afanye kwa kuwa hakuwa tayari kufanya vile.
Hata hivyo naamini nilifanya kosa kumsaidia
 
Dunia siku hizi imeharibika usimsaidie mtu at extent
 
Hakuna kesi hapo aisee,ishu ndogo kama hiyo siyo ya kumfukuzisha mtumishi kazi.Pambania haki yako.
 
Wanafunzi wanafunzi aiseé kati ya watu wanaweza kukupotezea maishà kirahisi n hawa watt wa shulee.
Nakazia, tena mara nyingi wanalazimishwa kuandika maelezo hata ambayo sio ya kweli. Nadhani ndicho kilichotokea kwenye hiyo kesi.
 
Nina uhakika alilazimishwa kuandika. Na askari walitumika pia mpaka mtoto alichapwa viboko. Mzazi pia aliandikishwa barua akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa shule, walimu wa malezi na walimu wa Nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…