Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu kikubwa unakikosa cha ushawishi na kujipambania, hata mchungaji wako, hata wazee wa kanisa seriously, ntabaki nasoma comments tuSikuweza kufanya hivyo kutokana na jinsi jambo lilivyoendeshwa mkuu, ilikuwa ni ghafla sana na kimya kimya likaenda wilayani na kutolewa maamuzi magumu. Hata wananchi wamebaki wanashangaa mpaka sasa maana sijawahi kuvutana na yeyote miaka sita nikiwa hapo. Na nilikuwa ni mjumbe wa bodi ya ushauri ya shule
Jitahidi, utapotezaje kazi kizembe kiasi hicho?Asante sana mkuu nimekuelewa, ngoja nitafute namba zake
Unafukuzwa TU kirahisi kama hauana uwezo wa kujitetea na hauna mbuyu juu watu Wana roho mbaya hatari.Mh maelezo yanatia uwalakini kidogo. Iweje watu wote hao wakubaliane kirahisi na uongo wa mkuu wa shule?
Kuanzia mzazi, mwanafunzi, mratibu, afisa elimu na tcs? Hata walimu wenzio wanaojua ukweli walishindwa kabisa kupenyeza taarifa kwa wahusika au ndo wote hao walipangwa na mkuu wa shule au wote hao wana chuki? Kufukuzwa kazi serikalini siyo ishu rahisi hata kidogo kuna jambo nyuma ya pazia ambalo hauko tayari kuliweka wazi
Nimesoma kwa furaha sana comment yako, ina mawazo makubwa sana. Nimeoa na ninaishi na mke. Sijawahi kumtuma mtoto nyumbani.Umeoa? Ungekuwa na ndoa mke ndo angekuwa bullet proof yako ya Kwanza kuwa huna nyege mlipuko.....sasa mtu ukute hujaoa, halafu unacheka Cheka na mwanafunzi, unamtuma nyumbani kwako, unamtuma dukani, unamnunulia madaftari, unampambania hadi unakorofishana na mkuu wako.....huyo mwanafunzi mwenyewe anaweza kuhisi unamtaka🤣🤣🤣
Ushauri wangu ukifanikiwa kurudi kazini acha kujenga bifu na mkuu wako, akikutafuta hakukosi as hujakamilika.....ishi kinafiki, usiulize ulize mambo ya pesa, hayakuhusu.....
pambana na mishe zako kimya kimya.....sio umefungua kimradi kimekubali unawaona staff wenzio hawajielewi wewe ndo una akili..... watu wakilia njaa na wewe lia njaa, kwenye ualimu wachawi ni wengi.....Kama staff ina walimu 20, ujue wachawi hawapungui 17🤣🤣🤣🤣
Hakuna haki nchi hii kama ni hivyo, inawezekanaje niwatreat wenye matatizo na wasiokuwa na matatizo the same?Duuuuh.
Hata Kwa kusoma tu kisa chako, na mimi nimepata maswali mengi.
Je ni wanafunzi wote na wazazi wote unawa treat the same na huyo binti na huyo mama?
Mazingira yanakufunga.
Suala la uhusiano na imani yako ya kimapenzi kati yangu na huyo mama ni imani unayoiamini wewe, mimi sikuwahi kuwa na huo uhusiano naye wa kimapenzi huyo mama, na nimeweka wazi kuhusu mwalimu aliyemtaka kingono kuwa si mkuu wa shule, KASUMBA ZETU NA TAMAA (Vipaumbele) ZA KIMAPENZI zinawafanya wengi waamini hivyo! Kama msaada wangu ulipelekea hayo POTELEA MBALI, NILIOWAFUNDISHA KWA MIAKA KUMI WALIFAULU NA WANATOSHA NA NITAWASAIDIA WENGINE HATA IKIWA URAINI KADRI YA NITAKAVYOKUWA.Kwa jinsi uvyoeleza na nikitathmini nguvu, mali, moyo na akili ulivyotumia kumpambania huyo mwanafunzi kuanzia uhamisho hadi kutokurudia darasa ni dhahiri kuwa ulikuwa una mfaidi mama yake (mke wa rafiki yako). Na kwakuwa mkuu wa shule nae alikuwa anataka amfaidi huyo mama ila wewe ukaweka zengwe, ni lazima angekuundia zengwe tuu, hataka kama ningekuwa mimi (ila siyo kali hivyo).
Pia baba mlezi wa huyo mwanafunzi alijazwa chuki na HM kuwa unamchapia mke wake na akapewa fact kwa namna unavyompambania binti yake nae akajaa king. Hapa hata kama mimi ndo ningekuwa baba wa huyo mwanafunzi, ningeunganisha dots na ningekuundia zengwe tuu.
Mama wa mwanafunzi itakuwa aliwekwa mtu kati huku HM, kule mumewe.....akubali kuachika kwa kesi kuwa unamchapa au aunge mkono hoja kuwa unamzengea binti yao. Jibu rahisi kwa mwanamke yeyote ni kukuangushia jumba bovu ingawa pengine hakujua itafikia stage hiyo kama kweli mlikuwa mnapendana au nawe ulimzingua? Hapo mama hajakuweka wazi yupo upande upi na hujataka kutuambia (TUNAHITAJI JIBU HAPA). Kwa upande wa mwanafunzi ni rahisi sana kupigwa biti kuwa utafukuzwa shule usipokubali kusema kuwa mwalimu alikuwa anakutongoza na kukuhonga visenti na madaftari.
USHAURI WA AWALI:
Kata rufaa na ukiri kuwa ni kesi ya chuki kati yako wewe na HM. Chanzo kikiwa ni wivu wa mapenzi baina yako wewe na mama wa huyo mwanafunzi na HM. Funguka usaidiwe. Hapo kesi itahamia kuwa ya madai baina yako wewe na mwenye mkewake.
Nenda tume ya maadili,pana taasisi inayosikiliza malalamiko ya watumishi kabla ya mahakama ,japo haya mambo ya rufaa uchukua miaka Bora upambane na mengine ukiwa unasubiria rufaa Yako,ukishindwa pote huko,tambua Mungu kakupangia riziki ingine.