Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

inawezekana ww ni mojawapo wa walimu mliopelekwa msingi. Naona bado unakihitaji cheo cha mkuu wa shule.
 
Walimu acheni usenge wewe kinachokusumbua ni wivu tu shoga mkubwa nyie ndio mnafanya vituo vya kazi vigeuke Darfur hebu jiheshimu madam umbea sio mzuri nyau wewe
 
Mwl
Mwl,wewe siyo mkuu wa shule,fundisha saini nyaraka zao hizo sepa.
Ukiongezwa kushika zamu inatosha.
Tambua kuwa wakaguzi huja kumkagua mkuu wa shule hivyo ukitimiza majukumu yako pumzika hata chini ya mti,sijui mtoto Kafanyeje km hajagusa masilahi yako huyo ni rafiki yako.

Km ni onyo amsubiri mkuu wa shule aje amuonye,wewe andaa lesson plans, schemes of work,fundisha na saini class journal basi.

Muombe u class master asikupe,u second master asikupe,utaaluma asikupe yaani kwakifupi uwe huru na ukistawisha tabasamu kwa ajili ya familia yako pindi urejeapo nyumbani baada ya kazi,utafurahia kazi ya ualimu na ni kweli siyo ngumu ukizingatia ushauri wangu.
 
Mara mna mambo. Hizo shule ni mali zao au ni za jamhuri..?
 
Yes
 
Sasa wewe kwa uoga huu ulionao Walimu tutatoboa kweli?.. Aisee najuta kua mwalimu,, Kaz hii imejaa vilaza waoga Kama Mwamba huyu!.. Sasa hayo unayosema hapa si ungemchana huyo mkuu kwenye kikao??
Ahamishwe kwenda chaka
 
Ondoa majungu hapa wewe. Kila mtu angekuwa analeta mambo ya ofisini pangekalika hapa?
 
Mwajiliwa academia wewe.
 
Pole sana mwalimu wa chakula umebaniwa kupiga visupu vya maharagwe
 
Haya ni
Haya ni majungu. Njia sahihi ilikuwa kum face direct immediate officer wake ili kufikisha hili suala kwa uzito wake.
Una hoja ila njia sio sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…