DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
“…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Iramba.
TAKUKURU Iramba - Singida, Julai 6, 2025. #TAKUKURU #rushwa #Singida