Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini:

Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu kupitia Mtume Muhammadi.https://www.ippmedia.co.tz/nipashe-jumapili/habari-nipashe-jumapili/kitaifa-nipashe-jumapili/read/waislam-wahimizwa-kuipenda-quran-2024-04-28-145732

Nipashe
 

Attachments

  • 1714460105242.jpg
    514.5 KB · Views: 4
Karibuni madafu na mwambie jamaa aache blah blah huyo. Mungu aliumba madafu tu, hajasusha quran. Kama aliishusha quran, atuambie wakati wa uumbaji wa mwanadamu pitia tone la shahawa, mungu aliitoa wapi hiyo na aliingizaje kwa mwanamke?
 
Wavaa kobazi na hekaya zao, watoto wa mnyaazi mungu...[emoji1]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…