Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

Mkuu unajua tz amepandikiza wangapi Rwanda?? Kiufupi Rwanda yuko uchi sana kwa tz
 
Kwahiyo unataka kusema Kisumbwa na Kinyamwezi ni lugha moja?!
Kinyamwezi ndiyo hichohicho kisukuma, tofauti matamshi tu,we ndo unaona tofauti, kisukuma njemu(bangi), kinyamwezi nzyemu, kisukuma shija,nyamwezi sizya..ni matamshi tu
 
Kinyamwezi ndiyo hichohicho kisukuma, tofauti matamshi tu,we ndo unaona tofauti, kisukuma njemu(bangi), kinyamwezi nzyemu, kisukuma shija,nyamwezi sizya..ni matamshi tu
Nimekuuliza swali naomba majibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja?๐Ÿ‘ˆ jibu tafadhali.
 
Tuwaombee amani. Africa tunaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe inasikitisha sana
 
..Kayumba Nyamwasa anadai wakati wa Kabila Jnr kulifanyika operation ya pamoja ya jeshi la Rwanda na DRC kuwaangamiza Fdlr-Interahamwe.

..Pia anasema hata jeshi la Uganda liliwahi kupewa ruhusa ya kufanya operation kuwasaka magaidi wa Uganda waliojificha DRC.

..lingine ambalo Kayumba Nyamwasa amesema ni kwamba wapo Fdlr waliorejea toka DRC na wamekuwa integrated ktk jeshi la Rwanda.

..maelezo hayo yanaleta utata kuhusu uhalali wa madai ya Rwanda kuhusu usalama wake.

..kwa mfano, badala ya kufadhili waasi dhidi ya DRC kwanini Kagame asiombe JOINT OPERATION na jeshi la DRC ku-eliminate magaidi wa Fdlr-Interahamwe?

..Jambo hilo linawezekana kwasababu tayari kulikuwa na urafiki kati ya Kagame na Tsishekedi.
 
Usiruke huku na kule, nakuuliza tena Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja ?!๐Ÿ‘ˆ usirukeruke.
Acha ujinga,ulisema wasumbwa siyo wanyamwezi,nikakutajia makabila matano yanayotengeneza kabila la wanyamwezi,hakuna kabila maalum la wanyamwezi
 
Acha ujinga,ulisema wasumbwa siyo wanyamwezi,nikakutajia makabila matano yanayotengeneza kabila la wanyamwezi,hakuna kabila maalum la wanyamwezi
Nakuuliza tena naomba unijibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja? naomba jibu moja yes au no!

Acha kurukaruka usupojibu hili nitkupuuza na kukuona hujui kitu.
 
Nakuuliza tena naomba unijibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja? naomba jibu moja yes au no!

Acha kurukaruka usupojibu hili nitkupuuza na kukuona hujui kitu.
Kwenda zako huko,kazi kubishabisha tu
 
Nimekwambia kwenda,unabishia hadi rekodi za serikali,mnaweza mkawa kabila moja halafu lugha tofauti!?
Mkuu wewe ndio unaweza ukawa mhamiaji haramu kwenye Taifa hili ninekushtukia๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜

Sasa nimekujua hunisumbui tena labda uje na zile ID zako nyingi nyingi zingine ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚.

Kwishney!!!
 
We ni bogus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ