imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Msumbwa akiongea Mnyamwezi anaambulia patupu wewe Mnyamwezi Mnyanyembe anaongea lugha similar to Kisukuma.Siyo kweli, wanyamwezi ni wakonongo,wasumbwa,wakimbu,wanyanyembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msumbwa akiongea Mnyamwezi anaambulia patupu wewe Mnyamwezi Mnyanyembe anaongea lugha similar to Kisukuma.Siyo kweli, wanyamwezi ni wakonongo,wasumbwa,wakimbu,wanyanyembe
Na huyu ndiye mtu pekee ambaye Kagame amejaribu zaidi ya mara tano kumuua inashindikana.Porojo zake tu kwa vile alishindwa kumpindua Kagame.
Tanzania tusipoweka nguvu kubwa kwenye intelligence ndani ya Rwanda na kujua Siri na mikakati yao, hakika ipo siku hawa watutsi watatupiga watatutawala. Kagame ameweka mapandikizi wa kutosha hapa Tanzania ndani ya jeshi, serikalini,.mawaziri mpaka ikulu. Na upo mpango wa muda mrefu wa Watutsi kuitawala sehemu kubwa ya Africa hasa Mashariki, kati na kusini. Ni taarifa za kweli na uhakika. Kama Congo na ukubwa wote anapigwa kama mtoto, kinachomsaidia ni Watutsi/banyamulenge wenzake aliowapachika katika jeshi na serikali ya DRC sawa na Tanzania. Watawala wetu wamejikita na upinzani, rushwa na uchaguzi. Tutalia na kubeba magodoro kukimbia kama wakongo.
Unamdanganya nani?!Msumbwa akiongea Mnyamwezi anaambulia patupu wewe Mnyamwezi Mnyanyembe anaongea lugha similar to Kisukuma.
Kwahiyo unataka kusema Kisumbwa na Kinyamwezi ni lugha moja?!Unamdanganya nani?!
Kinyamwezi ndiyo hichohicho kisukuma, tofauti matamshi tu,we ndo unaona tofauti, kisukuma njemu(bangi), kinyamwezi nzyemu, kisukuma shija,nyamwezi sizya..ni matamshi tuKwahiyo unataka kusema Kisumbwa na Kinyamwezi ni lugha moja?!
Nimekuuliza swali naomba majibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja?👈 jibu tafadhali.Kinyamwezi ndiyo hichohicho kisukuma, tofauti matamshi tu,we ndo unaona tofauti, kisukuma njemu(bangi), kinyamwezi nzyemu, kisukuma shija,nyamwezi sizya..ni matamshi tu
Nimekuuliza swali naomba majibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja👈 jibu tafadhali.
Usiruke huku na kule, nakuuliza tena Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja ?!👈 usirukeruke.Nyamwezi People - History, Social, Culture, Demographics & More
The Nyamwezi people or Wanyamwezi are one of the Bantu groups found in East Africa. The Nyamwezi kingdom people are the second...Read more!unitedrepublicoftanzania.com
Hili ni andiko la serikali,ila utaendelea kubisha
Hatumiki, ukiamini kila kitu bila kujiuliza utayumbishwa ubongo. Pale hao rebels wa M23 in a way wanamsaidia ku-deal na Interahamwe hivyo ana kila sababu ya kuwasaidia, tatizo la Congo mpaka rais ni tapeli. Vita vyao wanataka wapigane watu wengine, wameenda kuokota Wazungu eti mercenaries wanadhani mazoezi ya kulenga shabaha na kubeba vyuma ni sawa na kuwindana misituni. Vita si sawa na kucheza mayenu, Wakongo wajitoe wapiganie nchi yao wenyewe. Watu wetu wamekufa na wengine kujeruhiwa ushindi ukipatikana faida wanapata wao, wasanii sana.
Acha ujinga,ulisema wasumbwa siyo wanyamwezi,nikakutajia makabila matano yanayotengeneza kabila la wanyamwezi,hakuna kabila maalum la wanyamweziUsiruke huku na kule, nakuuliza tena Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja ?!👈 usirukeruke.
Nakuuliza tena naomba unijibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja? naomba jibu moja yes au no!Acha ujinga,ulisema wasumbwa siyo wanyamwezi,nikakutajia makabila matano yanayotengeneza kabila la wanyamwezi,hakuna kabila maalum la wanyamwezi
Kwenda zako huko,kazi kubishabisha tuNakuuliza tena naomba unijibu Wasumbwa na Wanyamwezi wanaongea lugha moja? naomba jibu moja yes au no!
Acha kurukaruka usupojibu hili nitkupuuza na kukuona hujui kitu.
Unakijua Kisumbwa na unakijuia Kinyamwezi?!Kwenda zako huko,kazi kubishabisha tu
Nimekwambia kwenda,unabishia hadi rekodi za serikali,mnaweza mkawa kabila moja halafu lugha tofauti!?Unakijua Kisumbwa na unakijuia Kinyamwezi?!
Mkuu wewe ndio unaweza ukawa mhamiaji haramu kwenye Taifa hili ninekushtukia😆😆😆😆😁Nimekwambia kwenda,unabishia hadi rekodi za serikali,mnaweza mkawa kabila moja halafu lugha tofauti!?
We ni bogusMkuu wewe ndio unaweza ukawa mhamiaji haramu kwenye Taifa hili ninekushtukia😆😆😆😆😁
Sasa nimekujua hunisumbui tena labda uje na zile ID zako nyingi nyingi zingine 😆😆😆😂.
Kwishney!!!
Nakupuuza rasmi😆😂 hutaniona nikikkujibu👋 bye bye😆😁We ni bogus
Usisumbuke na huyo Mnyarwanda.Kwenda zako huko,kazi kubishabisha tu