Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

Mkuu wa Ujasusi wa Rwanda, Lt. Gen Kayumba Nyanwasa, asema Kagame ni chanzo cha matatizo yote Congo na maziwa makuu

Mnayemsema ni jasusi wa viwango vya juu, hizo hofu mnazoanza kuwa nazo baada ya kumsoma alikwishaziwazia kabla hajaapishwa kile cheo, kabla hajatoroka nchi, hajafanyiwa jaribio la kwanza na kabla hajafanya hii interview.

Mnahofia kitu ambacho anakijua kwa undani kuwazidi. Suala la kuuwawa hata kwa Kagame mwenyewe mbona attempt iliishafanyika na wala haitokuwa ajabu yeye kuuwawa.
Kuna levels mtu anakuwa amevuka kutishiwa kufa, sio migambo h
 
Imhotep ni Baba ni Msubi Mama ni Msumbwa kazaliwa Biharamulo.
Wasumbwa ni miongoni mwa kabila linalounda kabila la wanyamwezi,we nenda kwenu huko ukapige kachabali kwa wanawake zenu waliorefusha visimi kama dole la kati
 
Wasumbwa ni miongoni mwa kabila linalounda kabila la wanyamwezi
Wanyamwezi ni confederates kuna makabila mengi ndani yake wakowemo hata Wamanyema na Wabembe kutokea Kindu DRC usianze kutugawa.
 
Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame.

Anasema Congo hamna tena tatizo la Banyamulenge ,lilishakwisha zamani na wana haki sawa na wanahudumu hata sasa katika serikali ya Congo.
Anasema kagame amekuwa DRC zaidi ya miaka 30 akiwaua wahutu wa FDRL baada ya Genocide mpaka leo, na kwamba hana kisingizio tena kuhusu FDRL nchini DRC.

Anasema M23 wameibuliwa upya na Rwanda 2021 baada ya Tshikedi kuingia makubaliano na Burundi na Uganda, ndipo Kagame alichukia na kusema kama hajakaribishwa atajikaribisha mwenyewe.

Amekiri Rwanda inaiba madini Congo na kupeleka Rwanda kwa ajili ya kuyauza nje na anasema kila eneo wanaloshika M23 lenye madini, madini huanza kusafirishwa kwenda Rwanda.

Anakiri RDF inatoa sapoti ya 100% kwa M23.

Anasema Rwanda ikiikamata Kivu yote, ataivamia Burundi na huo ndio mpango.

Anakiri ndani ya Rwanda wahutu wamefungwa minyororo na kufuri hawana pa kuongelea na hawana mtetezi.

Anakiri Rwanda ina wakimbizi wengi wahutu na watusi ambao hawakubalina na sera na utawala wa kagame, na kwamba kagame asipowasikiliza kuna hatarii ya kutokea Genocide nyingine Rwanda.

Kumbuka huyu Mtusi kama ilivyo kwa kagame.

Hapa chini nimeweka interview yake yote ya leo wakati akihojiwa akiwa uhamishoni nchini Afrika Kusini.

View: https://x.com/Sentletse/status/1885998079419003033?t=XrJ7G6I2xDOUSU6Sr__OXg&s=19

Kilichopo ni kwamba,, mti mkavu anatumika,,, asichokijua ni kwamba maberuberu wakimaliza shida zao watamtelekeza na hapo ndo atakopolia na kusaga meno
 
Regardless pk still on the throne , conflict in Eastern Congo will remain there and will continue
Conflict za Eastern Congo hazitaisha even after PK, na kuna uwezekano after PK there will be further escalation kwa kuwa hivi sasa yeye ana nguvu ya ku-control situation kwa namna moja au nyingine.
Yule tolu akili nyingi, he knows what he is doing lakini akiingia mtu ambaye akitingishwa anatingishika ata-panic kwa vitu vidogovidogo watajikuta watu wanaingia kwenye all-out war. Luckily mwamba huyo ni businessman anayejua ku-control every scenario around his sphere.
 
Mkuu hata asipotumika yeye somebody else will do it na sio hiyari, matatizo ya wakongo yatatatuliwa na wakongo. Mfano sasa hivi Tishekedi kualika watu kupigania nchini kwake kwa madai ya kuiondoa M23, haioni hatari ya kuondolewa yeye kabla ya hao waasi kama halioni hilo hafai kuiongoza 🇨🇩. Wale wanaotaka EAC yeye mwenyewe kawakataa anawataka hao waliokuwepo huko. Na kwa vile tatizo halisi haliongelewi watu wanafata upepo na mkumbo basi vita hii itadumu historia haidanganyi.
Kuwakataa EAST AFRICA naona ni logical, kwani members ambao ni Rwanda, Uganda, na kenya ni watuhumiwa wakuu.
 
Kilichopo ni kwamba,, mti mkavu anatumika,,, asichokijua ni kwamba maberuberu wakimaliza shida zao watamtelekeza na hapo ndo atakopolia na kusaga meno
Haya yameanza kusemwa siku nyingi, mambumbumbu kama Mobutu ndiyo walijisahau and back in the day zile blocks za East vs West ziliwalemaza sana baadhi ya viongozi wa Kiafrika lakini kwa sasa wengi wamejionea mengi. That PK is on top of the game.
 
Uko sahihi lakini mambo yakimgeukia bwana mti mkavu.... hana uwezo wakustahimili..... na wale mabibi na mabwana wakipata wanachotaka na wakaona sasa hawana Faida na wewe... wanakuwa kama mbwa mwitu...
 
Kwanini atumike kuua Africans wenzake, hapo ndipo Kagame anakua ni mshenzi na mwenye tamaa...
Hatumiki, ukiamini kila kitu bila kujiuliza utayumbishwa ubongo. Pale hao rebels wa M23 in a way wanamsaidia ku-deal na Interahamwe hivyo ana kila sababu ya kuwasaidia, tatizo la Congo mpaka rais ni tapeli. Vita vyao wanataka wapigane watu wengine, wameenda kuokota Wazungu eti mercenaries wanadhani mazoezi ya kulenga shabaha na kubeba vyuma ni sawa na kuwindana misituni. Vita si sawa na kucheza mayenu, Wakongo wajitoe wapiganie nchi yao wenyewe. Watu wetu wamekufa na wengine kujeruhiwa ushindi ukipatikana faida wanapata wao, wasanii sana.
 
Hapo ndipo udhaifu wa EAC unapoonekana.

Yaani wameshindwa kabisa kumlinda mwanachama mwenzao wa EAC aliyevamiwa na mwanachama mwingine.
Hizo ni siasa tu, mmoja anadai kavamiwa mwingine anadai ni vita vya ndani serikali vs waasi so who is saying the truth?
Haya mambo ubaya wake walio wengi wanatoa judgement kiushabiki na kihisia, majority are not checking the source and the realities on the ground. Tunasikiliza tu kelele na kuchagua upande, umeshawahi kujiuliza kwanini Wacongo wenyewe hawana morari wa kupigana vita watanaka watu wa mataifa mengine wakafe kwa ajili yao? Mpaka kuleta mercenaries wa Kizungu ina maana hawana watu nchini mwao? Wamebaki kuandamana tu Paris na Brussels ili Wazungu wawasaidie, kwanini? Utapeli mpaka kwenye vita, Wacongo wapiganie nchi yao wenyewe kwanza.
 
Ni mkorofi tu ni sawa na kuishi na jirani mwenye tamaa ya ardhi.
Tanzania tusipoweka nguvu kubwa kwenye intelligence ndani ya Rwanda na kujua Siri na mikakati yao, hakika ipo siku hawa watutsi watatupiga watatutawala. Kagame ameweka mapandikizi wa kutosha hapa Tanzania ndani ya jeshi, serikalini,.mawaziri mpaka ikulu. Na upo mpango wa muda mrefu wa Watutsi kuitawala sehemu kubwa ya Africa hasa Mashariki, kati na kusini. Ni taarifa za kweli na uhakika. Kama Congo na ukubwa wote anapigwa kama mtoto, kinachomsaidia ni Watutsi/banyamulenge wenzake aliowapachika katika jeshi na serikali ya DRC sawa na Tanzania. Watawala wetu wamejikita na upinzani, rushwa na uchaguzi. Tutalia na kubeba magodoro kukimbia kama wakongo.
 
DRC walitakiwa wacheze sayansi ya Nyerere, kabila korofi alikuwa anajua namna ya kuyatawala.
 
Tanzania tusipoweka nguvu kubwa kwenye intelligence ndani ya Rwanda na kujua Siri na mikakati yao, hakika ipo siku hawa watutsi watatupiga watatutawala. Kagame ameweka mapandikizi wa kutosha hapa Tanzania ndani ya jeshi, serikalini,.mawaziri mpaka ikulu. Na upo mpango wa muda mrefu wa Watutsi kuitawala sehemu kubwa ya Africa hasa Mashariki, kati na kusini. Ni taarifa za kweli na uhakika. Kama Congo na ukubwa wote anapigwa kama mtoto, kinachomsaidia ni Watutsi/banyamulenge wenzake aliowapachika katika jeshi na serikali ya DRC sawa na Tanzania. Watawala wetu wamejikita na upinzani, rushwa na uchaguzi. Tutalia na kubeba magodoro kukimbia kama wakongo.
Hata usiwaze, siku akileta hizo kwetu sisi tutawakusanya mahasimu wake wote tuwape training alafu wakapigane na yeye nchini mwake.

Kagame ni weak sana kwa Tanzania.
 
Ajiandae kudedishwa tu maana kagame kama mosad tu wanakuchukua popote ulipo
hii batu bana mufilisi kumunyuma
bana sikia mu konfida.
Mufilisi ni ile chonja chinja ya MUishirini na matatu. Batajidedishana musana tyu.
 
Matatizo kagame anayosababisha congo ni makubwa.
 
Wanyamwezi ni confederates kuna makabila mengi ndani yake wakowemo hata Wamanyema na Wabembe kutokea Kindu DRC usianze kutugawa.
Siyo kweli, wanyamwezi ni wakonongo,wasumbwa,wakimbu,wanyanyembe
 
Back
Top Bottom