Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

Mbn juzi Papa Francis kawachomekea waraka mmebaki mnajamba jamba..
Isitoshe uzuri nyie viongozi wenu wa dini sijui wachungaji wanaongea na mungu Yesu daily kwa nini msimuulize wapelistina kwao ni wapi?..
Upo radhi ule chumvi na mafuta sababu tuu mchungaji kaongea na Yesu kila kona kila nchi kila sehemu Yesu anawatokea wachungaji mnakuja na matamko hapo kituko ni kipi?

mohammed_vs_Jesus.jpg
 
Sasa which is which...laana moja mliyoachiwa ni uzushi mtu kumfanya ni mungu mapicha na vinyago juu bado mnaona imani haipo sawa...
Mnazusha ya kuoteshwa na kuongea naye...daily hamkosi matamko...kama haya maandiko yapo mbn Kibwetere aliwauwa?..Zumaridi tuu kakushinda alienda kuongea na Yesu na akarudi
 
Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana....

The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed during a US strike on Houthi targets in Yemen, according to Israeli media, citing a Saudi report on Monday.

Overnight, US Central Command (CENTCOM) continued to carry out strikes on the Iran-backed terror group.

The Houthis claimed 53 people have been killed as a result of the strikes, which began on Saturday.
Endelea kuota YEMEN kuna vichwa kutoka IRAN ndio tatizo kuuu kwa MAGAID wa Israel wenye nia ya kupola Ardhi ya eneo Kigaid kigaid na kuuwa wenyeji kigaid!!!!!

IRAN lazima awarudishe kwenye masanduku magaid wote,, akuna Ardhi utachukua bila vifo!!!
 
Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana....

The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed during a US strike on Houthi targets in Yemen, according to Israeli media, citing a Saudi report on Monday.

Overnight, US Central Command (CENTCOM) continued to carry out strikes on the Iran-backed terror group.

The Houthis claimed 53 people have been killed as a result of the strikes, which began on Saturday.
Umefufukia nchi ya Ahadi, mheshimiwa!
 
IDF wamerudisha moto Gaza kazi na iendelee.
Naam. Jamaa wametumia mfumo wa "Divide and Rule". Hebu tazama:
1. USA Trump anasema Houthis watanyeshewa Kiama ambacho dunia haijawahi kuona endapo wataendelea kutatiza upitaji wa meli red sea na tayari kazi inaendelea (e.g. tayari 53 RIP).. Hell inanyesha huko mtindo mmoja.
2. Lebanon, Hezbollah alishawekwa mguu sawa na yuko huko uhamishoni ng'ambo ya mto Litani tena kwa maandishi. (Cf yuko mahabusu - hawezi kutoka kwenda kumsaidia HAMAS).
3. Syria ilishavurugwa na Iran kesha nyong'onyeshwa hana hamu. Wanakomaa na hali zao.
4. Wale raia wa kawaida nchini Palestina watahamishiwa kwenye mataifa ya ugenini -mchakato unaoendelea.
Kwa kuzingatia 1-4; IDF ameachiwa kazi maalum ya kuisafisha na kuitakasa Gaza na kuhakikisha anatimiza kiapo chake cha kulisambaratisha na kulitokomeza kabisa kundi la kigaidi la HAMAS bila pingamizi au kutatizwa na kundi lolote kutoka nje ya Palestina.. Wanatumia lugha nzuri ya kuvutia na inayopendeza masikioni eti wanaijenga upya Palestina. Hakika lile tukio la tar.07Okt. 2023 kobaazi hawatokaa walisahau hadi kizazi cha nne(4).
 
Mbn juzi Papa Francis kawachomekea waraka mmebaki mnajamba jamba..
Isitoshe uzuri nyie viongozi wenu wa dini sijui wachungaji wanaongea na mungu Yesu daily kwa nini msimuulize wapelistina kwao ni wapi?..
Upo radhi ule chumvi na mafuta sababu tuu mchungaji kaongea na Yesu kila kona kila nchi kila sehemu Yesu anawatokea wachungaji mnakuja na matamko hapo kituko ni kipi?
Mabikra 72 siyo kituko 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom