Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

Mabikra 72 siyo kituko 😂😂😂😂
Na huwezi kukuta tamko la kuoteshwa wala kukutana na Yesu kama Zumaridi kituko ni kipi?..kuchinja kuku tuu hujapewa jukumu hilo kivipi uje kuwa na imani bila kutamkiwa miujiza ndo uiamini?
Tumebashiriwa pepo waislam kwa waliofuzu imani na tutaadhibiwa moto kwa waliokufuru...ila wewe Yesu keshamaliza kila kitu msalabani hata uolewe freshizoo tu alimradi umemwamini Yesu...
Kwani wewe huoni kwny pornomovie watu wametinga misalaba huku wanamanuana...ni kwa kuwa dhambi zao ameshabeba Yesu msalabani kitambo tuu
 
Naam. Jamaa wametumia mfumo wa "Divide and Rule". Hebu tazama:
1. USA Trump anasema Houthis watanyeshewa Kiama ambacho dunia haijawahi kuona endapo wataendelea kutatiza upitaji wa meli red sea na tayari kazi inaendelea (e.g. tayari 53 RIP).. Hell inanyesha huko mtindo mmoja.
2. Lebanon, Hezbollah alishawekwa mguu sawa na yuko huko uhamishoni ng'ambo ya mto Litani tena kwa maandishi. (Cf yuko mahabusu - hawezi kutoka kwenda kumsaidia HAMAS).
3. Syria ilishavurugwa na Iran kesha nyong'onyeshwa hana hamu. Wanakomaa na hali zao.
4. Wale raia wa kawaida nchini Palestina watahamishiwa kwenye mataifa ya ugenini -mchakato unaoendelea.
Kwa kuzingatia 1-4; IDF ameachiwa kazi maalum ya kuisafisha na kuitakasa Gaza na kuhakikisha anatimiza kiapo chake cha kulisambaratisha na kulitokomeza kabisa kundi la kigaidi la HAMAS bila pingamizi au kutatizwa na kundi lolote kutoka nje ya Palestina.. Wanatumia lugha nzuri ya kuvutia na inayopendeza masikioni eti wanaijenga upya Palestina. Hakika lile tukio la tar.07Okt. 2023 kobaazi hawatokaa walisahau hadi kizazi cha nne(4).
Hakuna jipya hapo na uislam haupo Palestine pekee yake wauliwe wote tuone kama uislam ndo utakua umeisha?mauji ya halaiki hayajatokea hapo tuu...ila kwao ndo hapo
Lazima ujue weeh panga yako na mwenyezimungu anapanga yake...tatizo nini kama wanajua wapelistina kwao ni wapi wawaonyeshe tuu...yanii hapo sawa sawa na mkaburu wa Africa kusini uwaambie sahv waende kwao.
 
Hakika Uislam haupo Palestina tu hata hapa Tz upo. Hata hapo hawalengwi Waislam kwani hata huko Israel wapo Waislam wengi tu.
Kinacholengwa hapo ni HAMAS. Harakati zoooote hizo ni namna ya kumtambua, kumtenga na kumweka wazi zaidi(Isolate& Expose the enemy)HAMAS, ili Hamas atakapokuwa amebaki peke yake wazi, aweze kuteketezwa jumla (destroy) huku IDF ikikwepesha madhara makubwa kwa raia na miundombinu mingine kadri iwezekanavyo..
 
Hebu ona sasa kitu kama hiki mgalatia wa yombo vituka eti hajui wala haelewi...lkn Zumaridi akiwaambia nilienda mbinguni wanaamini...watu wa ajabu sana hawa mpk leo wanaamini kwny miujiza...
 
Usituongopee. Hao ni Waislamu ngangari, kindakindaki na tena wanaendesha shughuli zao kwa kuzingatia Itikadi kali ya kiislamu.
Houthiy ni kundi miongoni mwa makundi ya kishia!
Na mashia kwa makundi yao yote tukiachana na shia zaydiyyaha hawajawahi kuwa waislamu.
Mmoja wa makafiri wakubwa wa kishia ni kama vile basshaar Al Asad aliyekuwa mtawala wa Syria ambaye yeye ni mfuasi wa kundi la kishia linaloitwa Nuswayriyyah! Makundi ya kishia yote ni makafiri isipokuwa kundi la shia zaydiyyah peke yao, hao zaydiyyah japo na wao wana baadhi ya makosa lakini hayajafikia kiwango Cha kuwatoa kwenye uislamu.
 
Duh! Asante sana mkuu. Mim sikuwahi kujuaga kumbe wapo makafiri wa Kiislam.
 
Mbn juzi Papa Francis kawachomekea waraka mmebaki mnajamba jamba..
Isitoshe uzuri nyie viongozi wenu wa dini sijui wachungaji wanaongea na mungu Yesu daily kwa nini msimuulize wapelistina kwao ni wapi?..
Upo radhi ule chumvi na mafuta sababu tuu mchungaji kaongea na Yesu kila kona kila nchi kila sehemu Yesu anawatokea wachungaji mnakuja na matamko hapo kituko ni kipi?
Hii akili hii, bado shida ipo
 
Duh! Asante sana mkuu. Mim sikuwahi kujuaga kumbe wapo makafiri wa Kiislam.
Hawezi akawa kafiri halafu akawa muislamu ( makafiri wa kiislamu ❌)
Sema makafiri wanaojiita waislamu au wanaodai kuwa na wao ni waislamu.
Wanafanya hivyo (kujiita waislamu ) ili kuyapotosha mafundisho ya uislamu na kuwahadaa waislamu wasiokuwa na elimu sahihi ya dini yao ili wawe nyuma yao hao mashia na hatimaye wawatoe kwenye uislamu bila kujua japo watabaki na majina ya kiislamu kama Abdallaah , Selemani, Fatuma, Hadija nk lakini fikra zao na misimamo ya kidini ni kinyume na mafundisho ya Mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم.
Mfano wa makundi ya kikafiri ambayo yanajiita ni waislamu kwa hapa Tanzania ni Mashia Ithnaashariyyah au Imaamiyyah Jaafariyyah, pia wapo Shia Ismaailiyyah (Hawa kwa hapa Tanzania ni wahindi watupu) pia Kuna kundi linaitwa Qadiyani (makadiyani ) ambao wao hupenda kujiita Ahmadiyyah ambao Moja ya itikadi na misimamo ya kikafiri waliyonayo ni kuamini kwamba baada ya mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم kufariki Allaah alituma mtume mwingine anayeitwa Ahmadi Ghulam Mirza muhindi aliyekuwa na uraia wa uingerezza .
 
Taarifa rasmi ya Houthis imesema marekani imewaua raia 53 wengi wao wakiwa wanawake na watoto na hakuna kiongozi yeyote aliyeuwawa kwahiyo taarifa Yako ni propaganda za uwongo za wamarekani na vibaraka wake.
Wazee wa victim card,safari hii nikutanguliza akhera kwenye dangulo lenu na alla
 
Hawezi akawa kafiri halafu akawa muislamu ( makafiri wa kiislamu ❌)
Sema makafiri wanaojiita waislamu au wanaodai kuwa na wao ni waislamu.
Wanafanya hivyo (kujiita waislamu ) ili kuyapotosha mafundisho ya uislamu na kuwahadaa waislamu wasiokuwa na elimu sahihi ya dini yao ili wawe nyuma yao hao mashia na hatimaye wawatoe kwenye uislamu bila kujua japo watabaki na majina ya kiislamu kama Abdallaah , Selemani, Fatuma, Hadija nk lakini fikra zao na misimamo ya kidini ni kinyume na mafundisho ya Mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم.
Mfano wa makundi ya kikafiri ambayo yanajiita ni waislamu kwa hapa Tanzania ni Mashia Ithnaashariyyah au Imaamiyyah Jaafariyyah, pia wapo Shia Ismaailiyyah (Hawa kwa hapa Tanzania ni wahindi watupu) pia Kuna kundi linaitwa Qadiyani (makadiyani ) ambao wao hupenda kujiita Ahmadiyyah ambao Moja ya itikadi na misimamo ya kikafiri waliyonayo ni kuamini kwamba baada ya mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم kufariki Allaah alituma mtume mwingine anayeitwa Ahmadi Ghulam Mirza muhindi aliyekuwa na uraia wa uingerezza .
Kobazi makafiri kumbe wapo wamejaa tele,hawa ndio wanauchafua uislamu
 
Na huwezi kukuta tamko la kuoteshwa wala kukutana na Yesu kama Zumaridi kituko ni kipi?..kuchinja kuku tuu hujapewa jukumu hilo kivipi uje kuwa na imani bila kutamkiwa miujiza ndo uiamini?
Tumebashiriwa pepo waislam kwa waliofuzu imani na tutaadhibiwa moto kwa waliokufuru...ila wewe Yesu keshamaliza kila kitu msalabani hata uolewe freshizoo tu alimradi umemwamini Yesu...
Kwani wewe huoni kwny pornomovie watu wametinga misalaba huku wanamanuana...ni kwa kuwa dhambi zao ameshabeba Yesu msalabani kitambo tuu
Sawa mkuu, nimekuuliza tu je mabikra 72 siyo kituko au ni kituko?
 
Eti bhana! Kwa hesabu la haraka-haraka; ukishughulika kubikiri walau bikira mmoja kwa siku; utahitaji siku 72 mfululizo (6 months non stop) bila kupumzika ili uwamalize. Ukizingatia tena kuna mito ya pombe ndo balaa kabisa....... halafu sasa kwa kuwa vidume wapo ni wengi na kazi ndo hiyo, litakuwa ni genge kubwa sana la walevi na wazagamuaji.
Itakuwaje hapo????
 
Back
Top Bottom