Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sasa mkuu kila mtu anajifanyisha hivyo. Atapewa nani ataachwa nani?Kila mtu anapalilia maisha yake,maana teuzi saizi ni popote inakukuta
Ambaye sauti yake itaenda viral 😀Sasa mkuu kila mtu anajifanyisha hivyo. Atapewa nani ataachwa nani?
Aisee tusubiri tuoneAmbaye sauti yake itaenda viral 😀
Kwani mwaka huu kuna uchaguzi ?kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu?
KWahiyo hawa wanaojiandaa wana maana gani mkuu?Kwani mwaka huu kuna uchaguzi ?
No Reforms No Elections
Ulitaka.asemaje? Maana Hawa ndo wanaelekeza radio kutangaza michezo 24hrsWakuu
Mambo yanazidi kuwa mengi, mkuu huy wa vipindi kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu?
Au na yeye anataka kugombea? basi angekaa pembeni kabisa.
===
Mkuu wa vipindi Clouds TV, Dotto Bahemu akielezea mafanikio na mwitikio mkubwa wa wananchi wa Kanda ya Ziwa waliojitokeza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa hivi karibuni
View attachment 3386396