Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Akili gani mzee watumie Wapalestina? Unajua mwaka 1993 aliekuwa Waziri mkuu wa Israel Yitzhak Rabin aliiongoza Israel kuingia makubaliano ya amani kati yake na Palestina? Unafahamu mkataba wa kwanza kwa jina la Oslo ulisainiwa mwaka 1993 ila Wazayuni wengi hawakuoendezwa na hali hiyo?Waendelee kurudisha mapigo na Akili zao visoda. Waisrael wapate sababu ya kuimega palestina.Wapalestina wasipoamua kutumia akili sawasawa. Itakula kwao kila Mara. Ile idadi ambayo wapalestina wanoua Israel unaizidisha Mara kumi wakilipiza na ndicho kinachoendelea Sasa.
Basi mwaka 1995 Yitzhak Rabin aliuawa akiwa madarakani kwa kupigwa risasi cos Wazayuni waliona wamesalitiwa na Waziri Mkuu.
Embu niambie wewe mbongo mwenye akili unawashauli watumie akili gani?