Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

Akili gani mzee watumie Wapalestina? Unajua mwaka 1993 aliekuwa Waziri mkuu wa Israel Yitzhak Rabin aliiongoza Israel kuingia makubaliano ya amani kati yake na Palestina? Unafahamu mkataba wa kwanza kwa jina la Oslo ulisainiwa mwaka 1993 ila Wazayuni wengi hawakuoendezwa na hali hiyo?

Basi mwaka 1995 Yitzhak Rabin aliuawa akiwa madarakani kwa kupigwa risasi cos Wazayuni waliona wamesalitiwa na Waziri Mkuu.

Embu niambie wewe mbongo mwenye akili unawashauli watumie akili gani?
 
Kuwaonea huruma magaidi ni kukumbatia ugaidi. Wamalize kaskazini, kazi iendelee kusini.
 
Alipigwa risasi na wanafunzi. Shida kubwa Ni Hamas na ndiyo wanaosababisha wasikae kwa amani na wao sababu wanawalea Hamas wanawasababishia maafa makubwa
 
Alipigwa risasi na wanafunzi. Shida kubwa Ni Hamas na ndiyo wanaosababisha wasikae kwa amani na wao sababu wanawalea Hamas wanawasababishia maafa makubwa
Source yako inayo back hizo claims ni ipi
 
Hahaha hao WHO wao wamemaliza magonjwa duniani? Mbona wapo? waache unafiki anayewalipa wao ndiye anamlipa UN. Wivu tu, badala ya kula unaangalia sahani ya mwenzio.
Mimi nataka vita iendelee kama wao wamechoka shauri yao, na wakalale. Kuna watu hawalali wanafanya tafiti kutafuta silaha bora za kuuwa binadamu, na wao WHO wanamgambo wao wanafanya tafiti kutokomeza magonjwa, interest tofauti, kazi tofauti majukumu tofauti. Wafanye yao na wale waachwe wafanye yao.
Kama mnatamani kazi za jeshi acheni huko mkajiunge muache wivu.
 

Sawa! Tulia magaidi yasafishwe kwa ajili ya usalama wa pande zote.
 

Ulitaka Israeli akae kimya huku raia wake wanachinjwa na kubanikwa kama kuku?!
 

Watulie wajiunge na Israeli. Mbona kuna waarabu zaidi ya Mil 2 wanaishi vizuri tu ndani ya Israeli
 
mjinga ni mjinga tu.. Hii vita mshambiwa sio ya kihistoria hii vita ni ya october 7 na operatio yake ni kuifuta Hamas.. so hamas atafutwa kote kwenye trace zakeiwe west bank au nje ya israel... hayo maigizo ya kuweka watoto kuwapaka tomato sosi hayata saidia ishaandikwa kufutwa kwa hamas..

Na sielewi mnajisahaulisha au ndio ujinga sijui.. Subirini tu ngoma iishe ndio muanze kuleta habari za Palestina.. kwa sasa tuacheni tumalize kazi waliyotaka Hamas wenyewe this will never happen again.. najua inawauma kuja kukosa mpinzani wa baadae hii ni sawa na kuwa mmefiwa na mke wenu hamas lazima muumie ila vumilieni.. Mazungumzo a Magaidi au waunga mkono ugaidi hawawezi shinda kwenye hili.. kwqanza nyie tokea lini mliipenda israel.. acha wa fight for their life na nyie ingizeni majeshi yenu maana waliopo wanakaribia kuisha
 
Maskini wapalestina.Wanaonewa huruma kwa maneno ya kiume na mkuu wa WHO lakini ndugu zao na majirani zao wanakula pila buheri.
Arab league imechukua hatua gani mpaka sasa?
 
Israel anapigana na Hamas, Mungu kaingiaje hapo ?
 
Unajua Alwaz Huwa unashangaza kweli. Mara useme Waisrael wanapihwa ile mbaya huko Gaza. Mara leo Waisrael wanawaonesha cha mtema kuni HAMAS hadi Mkurugenzi wa WHO anaingilia kati. Lipi ni lipi kwako? Kwangu wacha HAMAS wote wafe.
 
Unajua Alwaz Huwa unashangaza kweli. Mara useme Waisrael wanapihwa ile mbaya huko Gaza. Mara leo Waisrael wanawaonesha cha mtema kuni HAMAS hadi Mkurugenzi wa WHO anaingilia kati. Lipi ni lipi kwako? Kwangu wacha HAMAS wote wafe.
Sijui unatumia akili gani kusoma taarifa na kuchambua mawazo.
Kuna sehemu nakupa taarifa na sehemu nakupa uchambuzi wangu.
Jee mkuu wa WHO hukumsikia akisema hilo au hupendi aseme hivyo.Inakuuma ukiona wenye akili na ubinadamu wakitetea wanyonge.
 
Mbona Hamasi hawashutumiwi kwa kuuwa watu wasio na hatia?

Au kwao kuuwa ni halari ?
 
UN ni vibaraka, hawanaga miongozo...
UN ni zile nchi zenye veto power peke yake.

Hakuna kitakachopitishwa bila mataifa hayo yenye veto power kuridhia.

Ni shida kwa nchi kama Urusi na Marekani kuwa na msimamo unaofanana.

Ukiwa mbabe tu na una veto power hakuna wa kukuzuia labda mwingine mwenye veto power apambane na wewe kama ilivyo kwa Russia na Marekani kule Ukraine.

Marekani aliingia Iraq akipiga bila baraka za UN na hakuna aliesema kitu.

Resolution ya UN ikija anaipiga veto.
 
Mbona Hamasi hawashutumiwi kwa kuuwa watu wasio na hatia?

Au kwao kuuwa ni halari ?
Mkuu Israel wako pale kihalali kwa wale wanaoamini historia iliyoko kwenye biblia. Especially torati.

Lakini historia hii ya kawaida, Israel ilianzishwa na mwingereza mwaka 1948.

Kwahiyo kwa historia hii ya kawaida, hao wa Palestine wanaonekana kama wanapigania uhuru wao.
 
Shida inaanza pale unapoona kama haya mambo yanatokea kwa bahati mbaya kumbe yalishapangwa!

Unapomsikia Antony Blinken akisema hakubaliani na Israel kuitawala Gaza unaona kama ni maneno ya mchezo vile! Kumbe ndiyo uhalisia unaonda kutokea! Na hii hajaanza tarehe 7 October, Israel kuichukua Gaza mazima iliamza kitambo sana, wakicho subiri ni wakati tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…