Kwahiyo ndivyo Mungu anavyolinda taifa lake teule?Wanachofanya ni kujilinda dhidi ya ugaidi
Kwani husikii kuwa hilo ni taifa lililobarikiwa na Mungu?Israel anapigana na Hamas, Mungu kaingiaje hapo ?
Taifa lako wewe halijabarikiwa na Mungu ?Kwani husikii kuwa hilo ni taifa lililobarikiwa na Mungu?
Kafiri anawaonea huruma waislam huku waarabu wakila tende na Sharubati wametuliaMaskini wapalestina.Wanaonewa huruma kwa maneno ya kiume na mkuu wa WHO lakini ndugu zao na majirani zao wanakula pila buheri.
Allah hana uwezo katika hili.Mayahudi wanatuma.ujumbe kwa maarabu na maswahiba wao,HATUJARIBIWI!Hayo maafa kwa IDF hayajasimama mpaka leo. Kila data zikiwashwa kuna vingine vinaoneshwa vikiwa chakavu
Pamoja na hivyo Israel ikipunguza kiburi chake nafuu itapatikana kwake na kwa Palestina.
Kinyume chake wakijiamini wana nguvu sana na wako Gaza mambo yanaweza kuwageukia muda wowote kuanzia sasa. Allah ni muweza wa kila jambo na huleta nusra na ushindi sehemu watu wamekata tamaa kabisa.
Nilijua mkuu wa WHO ni Dr. Tedros. Huyo mwingine ni nani?Hahaha hao WHO wao wamemaliza magonjwa duniani? Mbona wapo? waache unafiki anayewalipa wao ndiye anamlipa UN. Wivu tu, badala ya kula unaangalia sahani ya mwenzio.
Mimi nataka vita iendelee kama wao wamechoka shauri yao, na wakalale. Kuna watu hawalali wanafanya tafiti kutafuta silaha bora za kuuwa binadamu, na wao WHO wanamgambo wao wanafanya tafiti kutokomeza magonjwa, interest tofauti, kazi tofauti majukumu tofauti. Wafanye yao na wale waachwe wafanye yao.
Kama mnatamani kazi za jeshi acheni huko mkajiunge muache wivu.
Swali zuri sana,mnaenda kumuamsha mamba aliyelala ili iweje?Kwa nn tarehe 7 walienda kufanya fujo Israel hawaku fore see consequences?
Duh! Israel shikilia hapohapo!Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo.
Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi kubwa ya wagonjwa kufariki kwenye hospitali mbali mbai za Gaza baada ya kukatiwa huduma zote za kihospitali ikiwemo umeme,maji na chakula pamoja na madawa.
Mapema akitoa taarifa yake leo,meneja wa hospitali ya alshifaa amesema wagonjwa wote 22 kwenye vyumba vya mahututi wamekufa kutokana na kukosa huduma na hewa ya oxygen.
Hayo yakitokea Gaza hospitali nyengine zimeendelea kuvamiwa kule ukanda wa magharibi sambamba na mashambulizi ya kijeshi kwenye kambi kadhaa za wakimbizi kwani idadi kubwa ya wapalestina wa maeneo hayo wanaishi kwenye kambi za wakimbizi kama vile Jenin na Tulkarem.
Hahaha! Mamba kaamka sasaSwali zuri sana,mnaenda kumuamsha mamba aliyelala ili iweje?
United Nations Interim Force in Lebanon (UNIFL). Hiki ni kikosi maalum cha UN, kipo nchini Lebanon kwa ajili kulinda amani na kusimamia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbolla.Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo.
Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi kubwa ya wagonjwa kufariki kwenye hospitali mbali mbai za Gaza baada ya kukatiwa huduma zote za kihospitali ikiwemo umeme,maji na chakula pamoja na madawa.
Mapema akitoa taarifa yake leo,meneja wa hospitali ya alshifaa amesema wagonjwa wote 22 kwenye vyumba vya mahututi wamekufa kutokana na kukosa huduma na hewa ya oxygen.
Hayo yakitokea Gaza hospitali nyengine zimeendelea kuvamiwa kule ukanda wa magharibi sambamba na mashambulizi ya kijeshi kwenye kambi kadhaa za wakimbizi kwani idadi kubwa ya wapalestina wa maeneo hayo wanaishi kwenye kambi za wakimbizi kama vile Jenin na Tulkarem.
Nenda gaza kibaba hacha kulia lia kwenye keyboard............pale sudani wajomba zako wanaendelea kufa tu..........haya na watanzania mpaka kuuliwa na hamas kosa Lao lipi jibu sasa hiviWaliokufa kila siku idadi inashushwa kwa vile hakuna uhakika.Sasa wamefikia 1200.Lakini hata wakiwa jidadi hiyo ndio sawa na 12000 na kubomoa majengo ya jiji zima.
Tukirudi nyuma na wapalestina nao wanaweza kuuliza kwani mwaka 1947/48 mlipotuua kwa maelfu na kutuvunjia majumba yetu hamkujua kuwa kuna siku na sisi tutarudisha mapigo japo ngumi moja ?
UN ni mbwa wa marekani, anafanya kile USA anataka
Halijabarikiwa lililobarikiwa ni Israeli tu.Taifa lako wewe halijabarikiwa na Mungu ?