Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

Maskini wapalestina.Wanaonewa huruma kwa maneno ya kiume na mkuu wa WHO lakini ndugu zao na majirani zao wanakula pila buheri.
Kafiri anawaonea huruma waislam huku waarabu wakila tende na Sharubati wametulia
 
Hayo maafa kwa IDF hayajasimama mpaka leo. Kila data zikiwashwa kuna vingine vinaoneshwa vikiwa chakavu
Pamoja na hivyo Israel ikipunguza kiburi chake nafuu itapatikana kwake na kwa Palestina.

Kinyume chake wakijiamini wana nguvu sana na wako Gaza mambo yanaweza kuwageukia muda wowote kuanzia sasa. Allah ni muweza wa kila jambo na huleta nusra na ushindi sehemu watu wamekata tamaa kabisa.
Allah hana uwezo katika hili.Mayahudi wanatuma.ujumbe kwa maarabu na maswahiba wao,HATUJARIBIWI!
 
Hahaha hao WHO wao wamemaliza magonjwa duniani? Mbona wapo? waache unafiki anayewalipa wao ndiye anamlipa UN. Wivu tu, badala ya kula unaangalia sahani ya mwenzio.
Mimi nataka vita iendelee kama wao wamechoka shauri yao, na wakalale. Kuna watu hawalali wanafanya tafiti kutafuta silaha bora za kuuwa binadamu, na wao WHO wanamgambo wao wanafanya tafiti kutokomeza magonjwa, interest tofauti, kazi tofauti majukumu tofauti. Wafanye yao na wale waachwe wafanye yao.
Kama mnatamani kazi za jeshi acheni huko mkajiunge muache wivu.
Nilijua mkuu wa WHO ni Dr. Tedros. Huyo mwingine ni nani?
 
Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo.

Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi kubwa ya wagonjwa kufariki kwenye hospitali mbali mbai za Gaza baada ya kukatiwa huduma zote za kihospitali ikiwemo umeme,maji na chakula pamoja na madawa.

Mapema akitoa taarifa yake leo,meneja wa hospitali ya alshifaa amesema wagonjwa wote 22 kwenye vyumba vya mahututi wamekufa kutokana na kukosa huduma na hewa ya oxygen.

Hayo yakitokea Gaza hospitali nyengine zimeendelea kuvamiwa kule ukanda wa magharibi sambamba na mashambulizi ya kijeshi kwenye kambi kadhaa za wakimbizi kwani idadi kubwa ya wapalestina wa maeneo hayo wanaishi kwenye kambi za wakimbizi kama vile Jenin na Tulkarem.
Duh! Israel shikilia hapohapo!
Bila shaka umeminya penyewe ndio maana kelele inasikika, na haramu sasa kwao imekuwa halal.
 
Tedros Adhanom Ghebreyesus ndio GD wa WHO,wewe ostadhi acha upotoshaji.
 
Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo.

Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi kubwa ya wagonjwa kufariki kwenye hospitali mbali mbai za Gaza baada ya kukatiwa huduma zote za kihospitali ikiwemo umeme,maji na chakula pamoja na madawa.

Mapema akitoa taarifa yake leo,meneja wa hospitali ya alshifaa amesema wagonjwa wote 22 kwenye vyumba vya mahututi wamekufa kutokana na kukosa huduma na hewa ya oxygen.

Hayo yakitokea Gaza hospitali nyengine zimeendelea kuvamiwa kule ukanda wa magharibi sambamba na mashambulizi ya kijeshi kwenye kambi kadhaa za wakimbizi kwani idadi kubwa ya wapalestina wa maeneo hayo wanaishi kwenye kambi za wakimbizi kama vile Jenin na Tulkarem.
United Nations Interim Force in Lebanon (UNIFL). Hiki ni kikosi maalum cha UN, kipo nchini Lebanon kwa ajili kulinda amani na kusimamia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbolla.
Pamoja na uwepo wa kikosi hicho, lakini Hezbollah imekuwa mara kadhaa ikirusha Makombola kwenda Israel, Je umewahi kusikia kauli yoyote ya UN kuilaani au kuitaka Hezbollah iache harakati zake hizo?

Hassan Nasrallah, huyu ni General Secretary wa Hezbollah. Baada ya ile vita ya 2006 aliwahi kusema laiti kama angejua kuwa Israel ingejibu kwa nguvu kiaso kile kamwe asingeanzisha uchokozi ule...ingawa bado baadaye aliendeleza uchokozi japo kwa kiwango kidogo sana.

Wakati wanaoipinga Israel na hao UN wenu wakijifanya kuilaani Israel, lakini wanajipiga upofu pale Israel anapochokozwa.
Wakati wengine wakitafuta namna ya kusitisha mapigano, chombo hiki cha habari kimekuwa busy kuuchochea mgogoro huo na hakuna anaye wanyooshea kidole.

Wanakuja hadi na Analsis zao ambazo ukiangalia hazina jingine zaidi ya kuhamasisha na kuchochea mapigano huku wakisambaza chuki na kuujaza ujinga upande ambao wamechagua kuunga mkono.

Suluhu la huu mgogoro ni hadi siku ambayo Wapalestina watakapojifunza na kuanza kuwapenda watoto wao, wake zao na mama zao. Huo ndiyo ukweli ulio uchi ambao dunia inaogopa kuusema.

Screenshot_20231119-202325_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20231119-202344_Chrome.jpg
    Screenshot_20231119-202344_Chrome.jpg
    215.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231119-202246_Chrome.jpg
    Screenshot_20231119-202246_Chrome.jpg
    176.6 KB · Views: 1
Waliokufa kila siku idadi inashushwa kwa vile hakuna uhakika.Sasa wamefikia 1200.Lakini hata wakiwa jidadi hiyo ndio sawa na 12000 na kubomoa majengo ya jiji zima.

Tukirudi nyuma na wapalestina nao wanaweza kuuliza kwani mwaka 1947/48 mlipotuua kwa maelfu na kutuvunjia majumba yetu hamkujua kuwa kuna siku na sisi tutarudisha mapigo japo ngumi moja ?
Nenda gaza kibaba hacha kulia lia kwenye keyboard............pale sudani wajomba zako wanaendelea kufa tu..........haya na watanzania mpaka kuuliwa na hamas kosa Lao lipi jibu sasa hivi
 
UN ni mbwa wa marekani, anafanya kile USA anataka

Anaekupa hela nyingi ndo boss wako, ukitaka UN asiwe kibaraka wa US achangie zaidi kwenye mfuko wa UN.
 
Back
Top Bottom