Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin, amekuja na kuhudhuria hafla ya Putin na kafanya vikao vyake na viongozi wa Afrika.....

Huyu Putin labda huwa tunamuonea bure, itakua ni mateka kabisa na hufuata maagizo ya Russian mafia....

Russian media publish this screenshot of Prigozhin reportedly meeting with representatives of the Central African Republic at the Russia-Africa summit in St Petersburg. (This means that Prigozhin is in Russia and freely visits an official event where Putin also spoke).

Na jamaa inaonekana hapangiwi kitu hata akitaka kuvaa pensi na kutinga clemlin hakuna wa kumzuia..,hivi ndivyo alivyolipuka pamba wakati wa mkutano wa wawakilishi wa Africa mbele ya rais Putin [emoji848][emoji848]
JamiiForums-954004490.jpg
 
Na jamaa inaonekana hapangiwi kitu hata akitaka kuvaa pensi na kutinga clemlin hakuna wa kumzuia..,hivi ndivyo alivyolipuka pamba wakati wa mkutano wa wawakilishi wa Africa mbele ya rais Putin [emoji848][emoji848]View attachment 2701219
Jamaa kapiga t-shirt na jeans tena kachomekea. "Priigozshaa" bana. Inavyotamkwa kirusi
 
Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin, amekuja na kuhudhuria hafla ya Putin na kafanya vikao vyake na viongozi wa Afrika.....

Huyu Putin labda huwa tunamuonea bure, itakua ni mateka kabisa na hufuata maagizo ya Russian mafia....

Russian media publish this screenshot of Prigozhin reportedly meeting with representatives of the Central African Republic at the Russia-Africa summit in St Petersburg. (This means that Prigozhin is in Russia and freely visits an official event where Putin also spoke).

Vipi Kenya, hakuna aliyekimbia fujo za huko?

Eti, rafiki yako makenzi amesema fujo haziishi Kenya mpaka atolewe jela? Kweli?
 
Hehehe mama nilijua lazima uchomekee udini, huwa imekufanya uwe zombi kabisa, hapa nawaza jinsi huwa unabwatuka akbar akbar kila ukitiwa...

Udini uko wapi hapo? Mimi sielewi maana ya neno "udini". Maana naona hilo neno kila mmoja analitumia akishindwa hoja.
 
Au itakua shida ni yule mwarabu ambaye huwa unamuabudu aliyekua anafanya uchafu kwa wavulana, ndio itakua sababu za wewe kulaaniwa na udini....
 
Hehehe mama nilijua lazima uchomekee udini, huwa imekufanya uwe zombi kabisa, hapa nawaza jinsi huwa unabwatuka akbar akbar kila ukitiwa...
Sitaki kumsema vibaya, lakini wakati mwingine ujiuliza kama is mentally sound by 100% upstairs!
 
Wewe mbona una roho ngumu hivi? wenzako wanauwana huko wewe unashangilia kwenye mitandao huku. Wewe na rafiki yako makenzi hamna tofauti.

Simzidi yule mwarabu unayemuabudu alivyokua na roho ngumu hadi kuchinja watu.
 
Sitaki kumsema vibaya, lakini wakati mwingine ujiuliza kama is mentally sound by 100% upstairs!

Wewe mvaa kobaz umeadimika sana, niliwaambia mtahema, miaka miwili sasa bado hamna jipya, Putin aliwaingiza mkenge.
 
Back
Top Bottom