Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii....

Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg.
Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who remains active despite leading a failed mutiny against the Russian army’s top brass last month, has hailed Niger’s military coup as good news and offered his fighters’ services to bring order.

A voice message on Telegram app channels associated with Wagner, which they said was Prigozhin, did not claim involvement in the coup but described it as a moment of long-overdue liberation from Western colonisers and made what looked like a pitch for his fighters to help keep order.
 
Wagner ni lidude likuuuubwa, saivi wapo Belarus wanapasha wanataka kumchapa Poland, wengine wapo Ukraine na huko West Africa wapo wakutosha, Niger wakihitaji msaada jamaa wanatoa na EU hawaingizi mguu
 
Wagner ni lidude likuuuubwa saivi wapo Belarus wanapasha wanataka kumchapa Poland, wengine wapo Ukraine na huko West Africa wapi wakutosha

Wakithubutu chochote Poland watafyekwa na pia ndio itapatikana fursa ya NATO kuigaragaza Urusi maana NATO imesubiria sana kwa hamu Urusi iguse kataifa kamoja ka muungano wake.
 
Haya ni mawazo yako kabla hajafanya hivyo wameshapima uwezo wao

Wagner wametokea Urusi, supapawa wenu ambaye amelemazwa na kainchi kadogo hapo, hivyo hawana jeuri yoyote au uwezo wowote wa maana.
Kumbuka hata Wagner pale Bakhmut walisaidiwa pakubwa sana na artillerly ya jeshi la Urusi ambalo lilikua linapokea GPS details kutoka kwa hao Wagner iliyokua inaelekeza wapi pa kutuma hayo makombora.
Uasi wao Urusi walifaulu kumbabaisha Putin sio kwa uwezo wao kijeshi, ila ile kwamba mtandao wao upo hadi ikulu, majenerali na makamanda wengi jeshini wana uanachama wa Wagner, maana kwamba Putin alishindwa cha kufanya.
Lakini kwa sasa wakithubutu kushambulia Poland, watafanyiziwa wao pamoja na Urusi maana watakua wameguza ardhi ya NATO.
 
Wakithubutu chochote Poland watafyekwa na pia ndio itapatikana fursa ya NATO kuigaragaza Urusi maana NATO imesubiria sana kwa hamu Urusi iguse kataifa kamoja ka muungano wake.
Sio kweli bado mrusi na NATO wanaogopana kama NATO wanamuweza wasinge muacha Ukraine apgine na pamoja na kupoteza gharama zao
 
Nikajie ukubwa wa Cuba 😅😅

Huu ukubwa

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png

Clipboard01.jpg
 
Sio kweli bado mrusi na NATO wanaogopana kama NATO wanamuweza wasinge muacha Ukraine apgine na pamoja na kupoteza gharama zao

Kwa Ukraine hawana mkataba wowote wa kuwabana, muambieni huyo Urusi aguse kataifa kamoja ka NATO.
Urusi iliogopwa sana hata mimi nilikua naigopa sana, nilikua nadhani ni supapawa wa kweli, hata waarabu wengi walitumia Urusi kujikinga, ila kwa hii aibu imedhihirika hamna lolote la maana.

Walicho nacho kwa sasa ni manyuklia tu ambayo ni kama midoli maana hawawezi kuitumia, siku wakiitumia watafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kingine, hamna cha maana wamefaulu kuifanya Ukraine ambayo ingesababisha taifa lingine lolote liingie kuisaidia Ukraine, kwa sasa wapo wanachezea kichapo, wameganda kwenye defensive.
 
Wagner wametokea Urusi, supapawa wenu ambaye amelemazwa na kainchi kadogo hapo, hivyo hawana jeuri yoyote au uwezo wowote wa maana.
Kumbuka hata Wagner pale Bakhmut walisaidiwa pakubwa sana na artillerly ya jeshi la Urusi ambalo lilikua linapokea GPS details kutoka kwa hao Wagner iliyokua inaelekeza wapi pa kutuma hayo makombora.
Uasi wao Urusi walifaulu kumbabaisha Putin sio kwa uwezo wao kijeshi, ila ile kwamba mtandao wao upo hadi ikulu, majenerali na makamanda wengi jeshini wana uanachama wa Wagner, maana kwamba Putin alishindwa cha kufanya.
Lakini kwa sasa wakithubutu kushambulia Poland, watafanyiziwa wao pamoja na Urusi maana watakua wameguza ardhi ya NATO.
Wewe kweli huna akili hapa umeandika nini?yaani mtu kaja kwako alafua kamchukua mkeo mbele yako na ukoo wako alafu unasema umemlemaza?aisee usioneshe ujinga wako
 
Kwa Ukraine hawana mkataba wowote wa kuwabana, muambieni huyo Urusi aguse kataifa kamoja ka NATO.
Urusi iliogopwa sana hata mimi nilikua naigopa sana, nilikua nadhani ni supapawa wa kweli, hata waarabu wengi walitumia Urusi kujikinga, ila kwa hii aibu imedhihirika hamna lolote la maana.

Walicho nacho kwa sasa ni manyuklia tu ambayo ni kama midoli maana hawawezi kuitumia, siku wakiitumia watafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kingine, hamna cha maana wamefaulu kuifanya Ukraine ambayo ingesababisha taifa lingine lolote liingie kuisaidia Ukraine, kwa sasa wapo wanachezea kichapo, wameganda kwenye defensive.
Nonsense unaonesha wewe ni mbumbumbu.kama hawana mkataba mbona NATO wamejazana Ukraine na bado wamepigwa.ukraine utakuwa silaha za NATO,wanajeshi na wakufunzi wa NATO.acha kuongea ujinga hadharani.
 
Kwann wanatoa military support

Kwa ulivyo kilaza kisichokua na akili hauwezi ukaelewa chochote hapo...
 
Nonsense unaonesha wewe ni mbumbumbu.kama hawana mkataba mbona NATO wamejazana Ukraine na bado wamepigwa.ukraine utakuwa silaha za NATO,wanajeshi na wakufunzi wa NATO.acha kuongea ujinga hadharani.

Sishangai ulivyo mpumbavu uliyeshikiliwa akili na muarabu hata uelewa mdogo unashindwa...
 
Kwann wanatoa military support

Sheria zinawabana tu kwenye kutoa military packages, ila wakichokozwa moja kwa moja itawabidi ku-participate in the war.
 
Weka na US vs CUBA

Haina haja ya Cuba maana hao Cuba hatujaona wakituma mizinga mpaka inapiga USA ndani, hatujaona wakituma drones mpaka kwenye ikulu ya USA na kumnyima rais usingizi...yaani hapa hamna pakutokea kwa hii aibu mliyoingia...takbirr
 
Ila stori unaijua sio?
 
Back
Top Bottom