Nonsense unaonesha wewe ni mbumbumbu.kama hawana mkataba mbona NATO wamejazana Ukraine na bado wamepigwa.ukraine utakuwa silaha za NATO,wanajeshi na wakufunzi wa NATO.acha kuongea ujinga hadharani.
Wewe acha uongo, hakuna Nato Ukraine ila silaha ndio wanapeleka, sasa msitafute visingizio vya Russia kushindwa kutimiza malengo yake ovu kwa kusingizia uwepo wa Nato Ukraine, huo ni uongo kabisa.